Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Mimi simu za kazini, sijui biashara kutokujibiwa huwa ninaona ni kawaida na siboreki.Bora aizime kabisa, Mimi nikiwa sitaki kusikia habari za kazini nazima laini inayojulikana,nawasha Airtel yangu inajulikana na Wana familia WA karibu Tu!
Tumia sim card maalumu ya M2M; Hii ni kwa ajili ya matumizi ya DATA tu. Hupigi/hupigiwi simu wala hutumi/hutumiwi sms, ni simu card special. Hakikisha una handset mbili. Zima simu moja, tumia simu nyingine kwa ajili ya mambo yako ya internet. Kama huna shida na internet, relax, acha kichwa ipoe kidogo na mambo ya dunia.Kuna muda huwa natamani kungekua na option ya kuwa off watu wanikose ila mtandaoni niwepo 😃
Okay naipata wapi hiyo laini....ndio nasikia kwako kuwa kina laini kwa ajili ya internet. Hiyo itanifaa sanaTumia sim card maalumu ya M2M; Hii ni kwa ajili ya matumizi ya DATA tu. Hupigi/hupigiwi simu wala hutumi/hutumiwi sms, ni simu card special. Hakikisha una handset mbili. Zima simu moja, tumia simu nyingine kwa ajili ya mambo yako ya internet. Kama huna shida na internet, relax, acha kichwa ipoe kidogo na mambo ya dunia.
Kama mtandao wa Halotel hauna shida kwako, nenda ofisi zao, utasajili sim card special - 3000020......Okay naipata wapi hiyo laini....ndio nasikia kwako kuwa kina laini kwa ajili ya internet. Hiyo itanifaa sana
Okay ahsanteKama mtandao wa Halotel hauna shida kwako, nenda ofisi zao, utasajili sim card special - 3000020......
Hii ni kwa ajili ya internet TU, no more!
Hahaha au siyo pamoja na hilo kudaiwa tabu kweli yaani ukiona namba mpya unaogopakama unadaiwa sasa alafu kuna katabia unapiga simu kutumia simu ya mwengine sipokei.
Uko vizuri mkuu. Simu ni chombo cha mawasiliano. Kama mtu hana jambo la dharura au lenye umuhimu wa haraka(priority) kivile, basi asipige simu hovyo-hovyo kwa kuwa tu eti ana simu na amejiunga bando.Mimi mwenyewe sipendi kupigiwa pigiwa simu
Safi sana hiyo Tabia - Simu inaharibu flow ya fikra/tafakari zako "inakutoa kwenye reli" halafu mbaya zaidi ujumbe unakuta eti mtu anakuambia "aisee shem wako jana kazingua kweli.......Kawaida yangu kwenye simu
1. Sipokei namba ngeni.
2. Hata kama namba yako ninayo ila at that particular time sina deal na wewe sipokei simu yako.
3.Wanaonifahamu wengi hadi ndugu zangu hawahangaiki kunipigia simu wananitumia msg kama ni ishu ya muhimu naijibu au nampigia.
4.Asilimia 95 ya matumizi yangu ya simu ni internet kulipo kupiga simu.
5.Sina kawaida ya kuongea mda mrefu kwenye simu mara nyingi simu zangu ni za kupanga appointment za kuonana,(tunaweza kuonana tuongee kwa kirefu ishu flani?) basi story sijui huko hali ya hewa ipoje familia inaendeleaje sina mambo hayo.
5. Ninapokuwa kwenye sites zangu serious na kazi ninazima simu sasa mfanyakazi apokee simu halafu mazungumzo yake yawe ya kijinga anaweza fukuzwa kazi hapo hapo.Nimuite mtu aje afanye kazi ili iishe mapema nimlipe aanze kuongeaongea ujinga kwenye simu wakti mimi mwenyewe bosi wake nipo serious na hiyo kazi hadi nimezima au nimeacha simu nyumbani au kwenye gari
6. Ni kawaida sana kuacha simu nyumbani tena ikiwa off kama naenda shamba ,site au kwenye sherehe au bar kunywa.
Mwisho katika mizunguko yangu mingi nimekutana na watu wengi wanaongea mambo ya kijingajinga sana kwenye simu (non issues ) kulipo vitu vya maana hususani hawa watu wa hali ya chini . Nimegombana sana na wafanyakazi wangu kwenye hili jambo hadi wametia akili hawapokei simu nikiwa karibu nawachoraga tu simu zao zinavyoita.
Hivyo ndivyo nilivyo sitegemei simu kupata fedha zangu nimetengeneza mifereji ya fedha ambayo haitegemei simu kuingiza fedha my projects once completed money flows
Majuzi kuna daktari nimempigia simu aisee alinikoromea kama mtoto kwamba kwa nini nampigia simu?? Nikiwa na shida naye niende kumuona ana kwa ana. Ikabidi niwe mpole tuu maana wahenga wanasema usitukane mamba kabla hujavuka mto. Last week jirani yangu mzee wa makamo naye yalimkuta, alikuwa na shida yake akapata ushauri akamuone DC, akaenda twice lakini akawa hamkuti. Basi secretary akampatia namba ili aongee naye aweke appointment. Basi bwana ile kupiga simu tuu ilivyopokelewa alikaripiwa vibaya sana kwamba nani kampa na.yake?? Kama ana shida aende ofisini na siyo kumpigia simu hovyo hovyo!! Mzee alisononeka mpaka huruma yaani.Inaboa sana
upo sahihi kwako ila kama wewe hupendi usifosi kika mtu kuwa kama wewe, imagine umetoka nyumbani umeacha mtoto anaumwa halafu mkeo/mumeo amapiga kabda hali ya mtoto sio nzuri hutapokea??? sasa ndo uvae viatu vya hao staffs wako huko wanapotoka wanajua wao walivyokuachaKawaida yangu kwenye simu
1. Sipokei namba ngeni.
2. Hata kama namba yako ninayo ila at that particular time sina deal na wewe sipokei simu yako.
3.Wanaonifahamu wengi hadi ndugu zangu hawahangaiki kunipigia simu wananitumia msg kama ni ishu ya muhimu naijibu au nampigia.
4.Asilimia 95 ya matumizi yangu ya simu ni internet kulipo kupiga simu.
5.Sina kawaida ya kuongea mda mrefu kwenye simu mara nyingi simu zangu ni za kupanga appointment za kuonana,(tunaweza kuonana tuongee kwa kirefu ishu flani?) basi story sijui huko hali ya hewa ipoje familia inaendeleaje sina mambo hayo.
5. Ninapokuwa kwenye sites zangu serious na kazi ninazima simu sasa mfanyakazi apokee simu halafu mazungumzo yake yawe ya kijinga anaweza fukuzwa kazi hapo hapo.Yaani nimuite mtu aje afanye kazi ili iishe mapema nimlipe aanze kuongeaongea ujinga kwenye simu wakati mimi mwenyewe bosi wake nipo serious na hiyo kazi hadi nimezima au nimeacha simu nyumbani au kwenye gari lazima ajue hajui.
6. Ni kawaida sana kuacha simu nyumbani tena ikiwa off kama naenda shamba ,site au kwenye sherehe au bar kunywa.
Mwisho katika mizunguko yangu mingi nimekutana na watu wengi wanaongea mambo ya kijingajinga sana kwenye simu (non issues ) kulipo vitu vya maana hususani hawa watu wa hali ya chini . Nimegombana sana na wafanyakazi wangu kwenye hili jambo hadi wametia akili hawapokei simu nikiwa karibu nawachoraga tu simu zao zinavyoita.
Hivyo ndivyo nilivyo sitegemei simu kupata fedha zangu nimetengeneza mifereji ya fedha ambayo haitegemei simu kuingiza fedha my projects once completed money flows
Yaani mkuu kuna watu wanaongea ishu za kipumbavu kwenye simu halafu public hadi nashangaaga.Safi sana hiyo Tabia - Simu inaharibu flow ya fikra/tafakari zako "inakutoa kwenye reli" halafu mbaya zaidi ujumbe unakuta eti mtu anakuambia "aisee shem wako jana kazingua kweli.......
Mkuu hiyo siyo ishu ya kijinga ,ikitokea na inatokeaga huyo mtu anaruhusiwa kuondoka na anapewa msaada.upo sahihi kwako ila kama wewe hupendi usifosi kika mtu kuwa kama wewe, imagine umetoka nyumbani umeacha mtoto anaumwa halafu mkeo/mumeo amapiga kabda hali ya mtoto sio nzuri hutapokea??? sasa ndo uvae viatu vya hao staffs wako huko wanapotoka wanajua wao walivyokuacha
nukta🙌🏾
Wapo wale jamaa zetu wa bodaboda. Yuko speed kubwa, kabeba abiria, hana helmet, pikipiki haina side mirrors halafu simu iko mfuko wa suruale (Jeans) inaita na anaanza kujitahidi kuitoa ili apokee. Dah! Inatisha.Mkuu hiyo siyo ishu ya kijinga ,ikitokea na inatokeaga huyo mtu anaruhusiwa kuondoka na anapewa msaada.
Watu wanaongeaga ishu za kijinga we acha tu mfano mtu anamuadithia mwenzake jinsi jana alivyofanya uzinzi wengine wanaongea non issues kuna jamaa nilimtimua juzi kapigiwa simu akaongea zaidi ya dk 2 pamoja na kwamba nilikuwa karibu naye nasikia kila walichokuwa wanaongea ila sikuweza kuelewa kabisa .
Na nilivyo mtata nikamwambia anieleweshe kwenye hiyo simu aliyopigiwa walikuwa wanaongea nini akaamua kuacha kazi na kuongea .
Akaishia kunijibu mambo yetu tu bosi yaani kwa kifupi hata yeye alishindwa kueleza walikuwa wanaongea nini.
Ndugu, nakwambia kuna watu wengi wapo hivyo mwengine anaweza kukujibu kabisa bundle langu linakaribia kwisha ndio nalitumia kupigapiga nilimalizie. Embu just imagine mtu anaamua kusitisha kazi inayompatia fedha hadi amenunua bundle ,eti ili apige simu randomly tu (yeyote atakayekuwa hewani na kupokea simu anaanzishiwa tu story) ili atumie tu bundle lake liishe kwa kuongea tu vitu visivyoeleweka.
Ukijiona unapiga simu ili mradi tu umalizie bundle please jirekebishe hayo ni matumizi mabovu ya simu
Acha ndugu wanapata sana ajali hao vijana kwa sababu hizo , wenyewe wanakuambia simu za hela .Wapo wale jamaa zetu wa bodaboda. Yuko speed kubwa, kabeba abiria, hana helmet, pikipiki haina side mirrors halafu simu iko mfuko wa suruale (Jeans) inaita na anaanza kujitahidi kuitoa ili apokee. Dah! Inatisha.