Wenye mazoea ya kutopokea simu mnakera, si uungwana, mbadilike!

Heart Wood.

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
982
Reaction score
1,179
Ni kweli kuwa simu ni yako, ila unapokuwa kazini na umeandikisha namba yako kuwa ndio itumike kwa mawasilaino si busara kutopokea simu na huna sababu ya msingi ya kutopokea.

Hata mimi huwa sipokei kila wakati, inategemea na majukumu niliyonayo. Ila inapokwa muda wa kazi huwa nayapa kipaumbele mawasiliano yanayohusu kazi. Hivyo mtu yeyote anaponipigia muda wa kazi na nikajua ni mtu ninayehusiana nae kwa ajili ya kazi huwa nampa kipaumbele. Vilevile napokuwa nje ya kazi, huwa nayapa kipaumbele mawasilaino yanayohusu masuala ya kifamilia.

Sasa unakuta mtu anafahamu kabisa yeye anahitajika kutoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ya kila siku juu ya majukumu ya kikazi. Ila akipigiwa simu kila siku haipokelewi. Hii si nzuri na watu wa namna hii mbadilike. Si ustaarabu na uungwana kabisa.

Au mnataka na sisi tuanze utamaduni wa kupeana appointment kwenye kupigiana simu? Kama tumefikia levels hizi kama ilivyo nchi za wenzetu basi weka wazi tuwe tunapeana appointment. Ila siyo kupigiwa kisha unaiangalia tu simu na kupuuza.

Nimemaliza uzi tayari.
 
sasa muungwana kama wewe umeweka vipaumbele kwamba wakati wa kazi unapokea simu za wale unaoheshimiana nao tu, maana yake wengine huna haja nao, right?🐒

kwani na wewe ukiwekwa kwenye kundi ambalo sio kipaumbele cha kupokelewa kuna ubaya wowote gentleman?

by the way,
si kuna sehemu ya kumtumia ujumbe mahususi muhusika, si ufanye hivyo aise 🐒
 
Unapiga piga simu kipuuzi halafu hamna cha maana unachosema.
Screenshot_20240704-210356~2.jpg
 
sasa muungwana kama wewe umeweka vipaumbele kwamba wakati wa kazi unapokea simu za wale unaoheshimiana nao tu, maana yake wengine huna haja nao, right?🐒

kwani na wewe ukiwekwa kwenye kundi ambalo sio kipaumbele cha kupokelewa kuna ubaya wowote gentleman?

by the way,
si kuna sehemu ya kumtumia ujumbe mahususi muhusika, si ufanye hivyo aise 🐒
Wanafamilia, ndugu na rafiki huwa wanafahamu utaratibu wangu kuwa ikiwa ni muda wa kazi tuwasiliane kwa jambo la dharura tu. Mambo yetu binafsi tuyazungumze nje ya kazi ili nipate muda wa kutosha kutumikia masuala ya kikazi.

Sio muda wa kazi unaanza kuleta stori za migogoro sijui ya ardhi ya mjomba na shangazi wakati mie wakati huo natakiwa kuandaa content muhimu za projects zilizo mezani kwangu. Hivyohivyo watu wa kazini wananijua kuwa nje ya muda wa kazi tuwasiliane kwa mambo ya kikazi kwa yale tu yenye udharura. Sio mambo ya kuniletea habari za kazi muda wa kupumzika nyumbani ulizopaswa kunieleza wakati wa kazi.
 
Ni kweli kuwa simu ni yako, ila unapokuwa kazini na umeandikisha namba yako kuwa ndio itumike kwa mawasilaino si busara kutopokea simu na huna sababu ya msingi ya kutopokea.

Hata mimi huwa sipokei kila wakati, inategemea na majukumu niliyonayo. Ila inapokwa muda wa kazi huwa nayapa kipaumbele mawasiliano yanayohusu kazi. Hivyo mtu yeyote anaponipigia muda wa kazi na nikajua ni mtu ninayehusiana nae kwa ajili ya kazi huwa nampa kipaumbele. Vilevile napokuwa nje ya kazi, huwa nayapa kipaumbele mawasilaino yanayohusu masuala ya kifamilia.

Sasa unakuta mtu anafahamu kabisa yeye anahitajika kutoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ya kila siku juu ya majukumu ya kikazi. Ila akipigiwa simu kila siku haipokelewi. Hii si nzuri na watu wa namna hii mbadilike. Si ustaarabu na uungwana kabisa.

Au mnataka na sisi tuanze utamaduni wa kupeana appointment kwenye kupigiana simu? Kama tumefikia levels hizi kama ilivyo nchi za wenzetu basi weka wazi tuwe tunapeana appointment. Ila siyo kupigiwa kisha unaiangalia tu simu na kupuuza.

Nimemaliza uzi tayari.
Ungemtumia meseji muhusika , sisi huku hayo mambo yenu hayatuhusu.

Pia ukiona simu zako hazipokelewi elewa brand yako ndogo.

Tafuta pesa ji brand ,ukipiga simu moja tu mtu anababaika
 
Back
Top Bottom