Kiufupi mnapokutana na mtu wa muda mrefu wengi hupenda ku assess hali yako kiuchumiDahh Mwanangu mbona unazidi kukonda shida nini?
Vp mwanangu umejenga au bado?
Vp mwanangu umeshaoa ?
Vp mwanangu una watoto wangapi sa hv?
Nimefurahi kukuonaUnafanya kazi wapi?
Unakaa wapi siku hizi?
Una watoto wangapi ndugu?
Akii unaweza ukamdunda mtu , swali gani hilo😀😀Mbona tumbo kubwa? " kitambi".
Naona mambo si mabaya...😀
Bora uwe hujawa na mpango wa kuwa na familia. Sasa ukute umejitahidi sana kutafuta mtoto lakini unakabiliwa na changamoto ( ugumba). Utajisikiaje?Swali: familia haijambo? Umeshaolewa?
Mimi: familia ipi tena? sina hata mtoto wa kusingiziwa😀
Very bad aisee maswali mengine bora usiulize tu, unaweza ukamsononesha mtu😔Bora uwe hujawa na mpango wa kuwa na familia. Sasa ukute umejitahidi sana kutafuta mtoto lakini unakabiliwa na changamoto ( ugumba). Utajisikiaje?
Hakika mkuu Binafsi Mimi huwa mzito sana kumuuliza mtu maswali yakikudaKiufupi mnapokutana na mtu wa muda mrefu wengi hupenda ku assess hali yako kiuchumi
Unaweza mjibu hvyo kimasihara hii hali moyoni unaumiaSwali: familia haijambo? Umeshaolewa?
Mimi: familia ipi tena? sina hata mtoto wa kusingiziwa😀
😀😀😀 you made my night mkuu, anayeuliza hivo anastahili mitama😀Mbona umezeeka ? Na anaona kabisa mtu mzima napambana na uzee kwa kichwa kizima nimejipakaza hair dye.
Kabisa inauma sana ni vile unajikaza tu lipiteUnaweza mjibu hvyo kimasihara hii hali moyoni unaumia
Maswali yakipuuzi yanaboa sana