Wenye miaka 30+ ni maswali gani hupendi kuulizwa ukikutana na mtu ambae hamjaonana kwa muda mrefu sana

Wenye miaka 30+ ni maswali gani hupendi kuulizwa ukikutana na mtu ambae hamjaonana kwa muda mrefu sana

Nimefurahi kukuona

Unakumbuka siku flani ulinisaidia kitu flani sijawahi kusahau

Naomba namba tuwe tunachekiana ishu muhimu

Vitu hivyo vinatosha kuwa sehemu ya mazungumzo, mambo ya kufatiliana unaweza kuambiwa "ninawahi sehemu flani"
Kuna wakuda hawajui hizo Mambo

Ufukunyuku kwao ndio salamu😁
 
●uko wapi siku hizi?
●unafanya nini?
●umeoa/kuolewa?
 
Back
Top Bottom