Wenye Nissan Dualis nawatamani sana hamjui tu

in short tu izo vibiriti
 
hiyo kwa mjini haifai, inakula wese balaa, ila kwa safari utaipenda.haili mafuta.
 
Sasa insulator imewekwa pale kwaajili ya kuzuia joto kupenya ukiwa utaondoa si ndio balah zaidi ?
Hiyo insulator inaharibika na kuwa kama tambara sababu ya kupigwa maji ya pressure wakati wa kuosha injini.

Mi nimeitoa na sijaona joto lolote kuongezeka.
 
Gari lenyewe la zamani si ukanunue tu mbona si aghali hivyo mwanangu?
 
Hujaelewa!

Maelezo hayasemi gari itawka moto ukiiosha...

Unaambiwa hivii; hiyo insulator inaharibika/inachoka kwa kupigwa na maji ya pressure wakati wa kuosha gari.

Hiyo insulator ikiharibika/ikichoka inakuwa kama tambara la deki [emoji23] wewe umeita mapamba pamba!

Hayo mapamba pamba sasa ndo yanaangukia/yanalia kwenye exhaust manifold, ambapo gari ikitembea mwendo mrefu lil chuma linakuwa kama limeshika moto... !

Hapo sasa sijui umenielewa..?




View attachment 2788582
 
"Brother ukiona kitu umekitamani hasa ujue hiyo ni ishara tosha kuwa unaweza kukimiliki regardless mazingira yanayokuzunguka yalivyo"
.....ishi kwenye ndoto zako Kwa gharama yoyote.
Mimi gari yangu ya kwanza kuinunua na kujifunza ni Subaru legacy Bl sport na sijawahi jutia uamuzi wangu licha kukutana na washauri lukuki mara ooooooh!...inakula wesee.... Oooh...spare zake gharama....oooooh....zipo chini sana..ila Brother nadunda nayo kama kawaida.
"Maisha ni yako, ndoto ni zako ukizubaa tutakuteka uishi kwenye zetu"
 
Duuuh jamaa umekazia sana suala la moto, asee ungekuwa mwalimu wa mase tu daaaah!😁

Lakn si tulikubaliana moto unatokana na makosa ya kielimu za wamiliki na mafundi tu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…