Wenye Nissan Dualis nawatamani sana hamjui tu

Duuuh jamaa umekazia sana suala la moto, asee ungekuwa mwalimu wa mase tu daaaah!😁

Lakn si tulikubaliana moto unatokana na makosa ya kielimu za wamiliki na mafundi tu au?
Ksbb nazijua na nimeshuhudia nyingi zikijibu,zikishika moto. Hii ninayoitumia mimi sasa ilikuwa ya wife haikuwa chaguo langu. Mimi ni Toyota tu. Lakini sasa wife anaiogopa baada ya kushuhudia nyingi zikiwaka na hii kutaka kuwaka.
Itakuwa sikuhudhuria darasa la elimu kuhusu Duas. Hebu nipe link tuone. Halafu unasema mlikubariana ni makosa ya kielimu kwa wamiliki na mafundi? Kivipi?
 
Be advised, Nissan sio gari mkuu..
Kiongozi, Nissan ni gari imara sana
Huwezi kulinganisha mfano x trail na Rav 4. Nissan X -trail ni gari ya kazi inaenda hata linapopita trecta ni kwa vile tu hazijauzika kwa wingi Tanzania
Ungemshauri tu kuwa, kwa hapo Bongo sio vizuri kuanza na Nissan kama gari ya kwanza
 
Ok. Angalau wewe umefafanua. Japo pia ilitakiwa ujibu lile langu kwamba gari zangu huwa sioshagi kwa presure kabisa. Kwa nini ikatokea nayo?
 
Nimekuelewa vizuri kabisa. Ngoja nichunguze mkuu
 
Anhaa

Ila wanawake bhana, analilia Dualis amekaona kazuri kana rangi tamu halafu akitishiwa kidogo tu anaikimbia😆😄😄

Anakuacha upambane nalo wewe, lakini komaa ndio uanaume👊

Kuhusu elimu. Ni kujaribu kufuatilia ukisikia gari imewaka moto chanzo kilikuwa ni nini. Usiishie tu sababu za jumlajumla kama UMEME au sijui INJINi nini. Hakikisha unafuatilia umeme umefanyejefanyeje eeh. Mtumiaji au fundi alifanya nini au hakufanya nn. Eeh
Hata ikitokea sijui giaboksi au chochote fuatilia. Yaani fanya kama wale 'Aircrash investigator' wanavyofanyaga. Elimu, kuwa mdadisi maana udadisi ndio akili. Jifunze kwa makosa na mafanikio na manuals maana kujifunza nako ho masala, MasalaKulangwa☝. Hicho ndicho nilimaanisha chief
 
Umeanza na akiba ya sh 3,000! Hongera sana mkuu! Imani yako ni kubwa sana. Kwa Imani hiyo, ukitakacho hakitaweza kukupiga chenga.

Natamani ungeweka na namba ya account yako (benki au simu) ili na mimi nikuchangie elfu tatu (3,000/).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…