Anko Bantu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 832
- 1,034
Kama mfuko unaruhusu,panga nyumba sehemu za maana na sio uswazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipa kodi wacha ulalamishi, mtu mwingine alijinyima akajenga na sasa hana ajira anategemea pesa za kodi halafu wewe unamletea nyenyenye.Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji sio jambo nzuri. Unashindwa vipi kusubiri aondke ndo ulete mtu aangalie chumba??
Hapo mdau lazima kuwe kuna tatizo.Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji sio jambo nzuri. Unashindwa vipi kusubiri aondke ndo ulete mtu aangalie chumba??
Yani suala linakuja pale ambapo umemwambia huongezi mkataba hapo ndo anapoanza kuleta watu kuangalia chumbaHapo mdau lazima kuwe kuna tatizo.
Kuja kuoneshana chumba wakati ukiwa bado mpangaji kuna mambo yafuatayo:
Mpangaji unazungusha kulipa kodi kwa wakati jinsi mlivyokubaliana kwenye mkataba.
Mwenye nyumba ashachoka na uongo uongo wako, hakutaki tena uendendelee kupanga hapo.
Mwenye nyumba hawezi kuleta kuonesha mtu mwingine wakati mkataba wa kuishi hapo haujaisha.
"No pain,no gain bro!!!".......hauwezi kujenga nyumba yako bila kupitia misukosuko na manyanyaso,,,,,nakumbuka zamani sana nikiwa mdogo,ata vidudud sijaanza tulikuwa tukiishi pa UBUNGO NHS,,,ila baba yetu aliweza kujenga sinza na tukahama,,issue ikabaki kwa wapangaji wenzake...kutokana serikali ilikwa haiwasumbui kuhusu malipo ya kodi,basi walibweteka mpaka wakistaafu wakiwa hapohapo,,,,yaani ilibidi watoto wakibalehe stoo na jiko zinageuzwa vyumba vya watoto,na mapishi yanahamishiwa nje!!!Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji sio jambo nzuri. Unashindwa vipi kusubiri aondke ndo ulete mtu aangalie chumba??
Sawa broo"No pain,no gain bro!!!".......hauwezi kujenga nyumba yako bila kupitia misukosuko na manyanyaso,,,,,nakumbuka zamani sana nikiwa mdogo,ata vidudud sijaanza tulikuwa tukiishi pa UBUNGO NHS,,,ila baba yetu aliweza kujenga sinza na tukahama,,issue ikabaki kwa wapangaji wenzake...kutokana serikali ilikwa haiwasumbui kuhusu malipo ya kodi,basi walibweteka mpaka wakistaafu wakiwa hapohapo,,,,yaani ilibidi watoto wakibalehe stoo na jiko zinageuzwa vyumba vya watoto,na mapishi yanahamishiwa nje!!!
MKUUU ILE N UTASHI WENU ILA KUNA WENGINE WANAWEKA KWENYE MKATABAHabari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji sio jambo nzuri. Unashindwa vipi kusubiri aondke ndo ulete mtu aangalie chumba??
Kwa kweli haipendezi. Lakini una haki ya kumkatalia kuingia ndani ya nyumba yako. Labda kama kuna sehemu katika mkataba wenu wa upangishaji inayompa haki hiyo. Hata kama kipo ni vizuri ukisisitiza kuwa akutaarifu siku kadhaa kabla ya kuja na huyo mpangaji mtarajiwa.Labda lakini haipendezi
Jenga ya kwako mkuu.Kupanga nyumba ni kama upo guest house.Kaza roho.Habari za wakati huu!! Kuna hili suala binafsi linanikera na nikero hata Kwa wengine,hii tabia ya mwenye nyumba kuleta mtu kuangalia chumba wakati bado hujahama au mkataba bado haujaisha sio nzuri na hili lipo haswa maeneo ya uswahilini. Ifike mahala wabadilike hili jambo linakera Kwa mpangaji sio jambo nzuri. Unashindwa vipi kusubiri aondke ndo ulete mtu aangalie chumba??
Tatizo letu watanzania ni nidhamu ya uoga. Maana kama hupendi hiyo tabia ni simple tu akija kukuomba unamweleza tu kistaarabu kuwa “ kwa nia njema tu, kuwa unalinda faragha zako na hutopenda kila mtu akujue chumbani kwako”.Sawa mkuu lakini anakuja kuomba sasa
Umeongea ukweli kabisaa.Wewe unaruhusu vipi mtu kuingia kwenye chumba chako au unakaa bure? Unafahamu rights of privacy? hiyo ni Mali yako kwa muda utakapokuwa umepalipia hapo, hata mwenye nyumba Hana HAKI na chumba chako, labda kama kuna amri ya ukaguzi ndani ya chumba chako na balozi anapaswa kuhusishwa na anapaswa kuwa na kibali cha kufanya hivyo. Hawa wenye nyumba msiwaendekeze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani Ogopa sana kuwa na mwenye nyumba njaa kaliii...!! Huwa hawana Utu kabisaaa
Kwani watu wanafanana vitu vya umiliki ktk chumba husikaa?Nyumba tupu haivutii kama iliyokuwa na samani. Mteja anaanza kujipima akiwemo ndani kutakuwaje. Na wengi wanatambua zaidi ukubwa wa chumba kama kuna samani ndani. Anajua kama kitanda chake cha futi 6 kwa 6 kitatoshq au la. Au seti zake mbili za makochi zitaingiaje. Ni biashara tu.
Amandla...
Ni busara kukaa vizuri na mwenye nyumba yako kama bado una mpango wa kuendelea kukaa. Na ni busara pia kwa mwenye nyumba kuto mkwaza mpangaji wake. Bahati mbaya siku hizi busara imekuwa adimu sana.Kwani watu wanafanana vitu vya umiliki ktk chumba husikaa?
Afu sasa kwani lazima? Si hiyari ya mpangaji kuruhusu au laah.
Mkataba unaonesha unaisha lini, kistaarabu lazima mmoja aseme iwapo hataongeza mkataba. Mpangaji wangu aliniambia hataongeza mkataba na mimi nikatangaza nyumba inapangishwa kuanzia tarehe atakayoondoka. Yaani akitoka yeye tu mtu anaingia, akapatikana mtu nae huko atokako kamaliza mkataba same day. Mpangaji mpya akaniambia anaomba kuona nyumba apate picha halisi nikamwambia siwezi labda umuombe huyo anaekaa akikukubalia kaangalie ila mimi siwezi kumuomba akuruhusu uingie. Wakaongea wenyewe wakakubaliana jamaa akaoneshwa nyumba alipotoka na yeye akaingia.Ulifanya kosa kumwambia unahama, hapo madalali lazima wakusumbue.