Kimolah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 562
- 762
..Bahati mbaya sana kwa nchi yetu hatuna utaratibu rasmi, kama wapangaji (tenants) wangekuwa na utayari wa kulipia security deposit na uwezo wa kulipia pango (rent) kwa wakati , sintofahamu na migogoro na kero nyingi zingefutika. Shida udalali mwingi na tantalila za wapangaji kwa wamiliki, ..ni ngumu kwa mmiliki kusubiri mpaka utakapohama/ kutoa vitu vyako then ndio aanze kutangaza kupangishwa..huo muda ni hasara kwake.. arrangement nzuri huwa mnapoelekea mwisho wa mkataba mkubaliane pande zote kuwa itakuwaje.
Mimi binafsi niliona nchini Uingereza utaratibu wa unapobakisha mwezi mmoja kumaliza mkataba mnakubaliana pande zote juu ya marekebisho (kama yapo) muda wa viewing kwa wanaohitaji, pending bills etc.. huku kibongo bongo mnaviziana 😀