mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa na kuishi na mwanamke, labda aje tu nichaape aondoke. Ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kuwa bachela hadi sasa.
Hakuna kitu nakerwa kama kulizwa naoa lini , current sina hata mwanamke anayenivutia kuishi naye siwaelewi, natamani kuishi na mama watoto ila naona kama sina mzuka naye.
Wewe una sababu ipi inakufanya umri ukutupe mkono na usiishi na mke?