Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

Kwa sasa una nguvu. Una uwezo wa kufanya kila kitu mwenyewe. Utafikia umri ambao unahitaj msaada wa mtu mwingine.

Na kuna misaada anayeweza kuitoa ni mke wa ndo tu..!! Sasa leo hii hujaowa na una miaka 35, utakapofika miaka 65, na huku huna mke uliyejenga naye mahusiano mazuri tangu ukiwa 25 year ulipoowa, tegemea kupata shida sana.
Mkuu ni kuoa na siyo kuowa
 
Sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa na kuishi na mwanamke, labda aje tu nichaape aondoke. Ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kuwa bachela hadi sasa.

Hakuna kitu nakerwa kama kulizwa naoa lini , current sina hata mwanamke anayenivutia kuishi naye siwaelewi, natamani kuishi na mama watoto ila naona kama sina mzuka naye.

Wewe una sababu ipi inakufanya umri ukutupe mkono na usiishi na mke?
CHAMA KUBWA 36YRS NOW
 
Hata muoaji anaweza kuwa mkosi kwa mke wake
Anaweza kuwa na gubu
Anaweza kuwa mzinzi
Anaweza kuwa anamtegemea mke
Anaweza kuwa hana nguvu za kiume
Anaweza kuwa SHOGA
Olewa tu, utapata mojawapo ya hayo au haya
1. Mume bora akutunze na watoto wako kiuchumi na kimwili
2. Mume asiebeba majukumu na mzembe asie na future
3. Mume katili na asie mwelewa
Pamoja na yote hayo ila atakupea jina zuri la mke wa mtu uliestaarabika na akikuacha unasepa na nusu ya mali zake
 
Nimecheka sana yaan ulivyoandika vizuri ingekuwa NECTA basi ungepata 76%,kuna wengi wanakufa wakiwa peke Yao wanakuja kugundulika baada ya harufu kuwa Kali sababu wanaishi peke Yao kama vp tafuta mtu mueleze wewe sio Muoaji mponde raha tuu utaona atakaa muda gani kabla ya kukukimbia,tatizo hamsemi then Maisha haya wadada wameshtuka kuwa wamekuwa wa kuzalishwa tuu Nyie wa kataa Ndoa mnatengeneza single mother wengi sana
Kataa Ujambazi
Tokomeza Ndoa
 
Back
Top Bottom