Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

SI kuliwa hela zako tu, bali hata kugongewa na wewe kuhudumia wanaume wake wanaomnyandua akanyanduka
Ata mke unamuhidumia na anaenda kugegedwa na wanaume wengine.
Hapa ni kushikuru tuu ukipewa chance ya kugegeda zamu yako itumie vizuri
 
Kwanini watu wanapenda kuwatishia watu maisha yao ya mbele.....utasikia ngoja ufike miaka 50 mara ooh! Ngoja ufike miaka 65.......

Kuoa au kuolewa sio guarantee ya kuishi maisha ya furaha siku za usoni kwani wapo watu waliooa au kuolewa lakini wakaja kukimbiwa na wake zao wakati wakiwahitaji au wakati wa shida......

Wapo watu waliooa au kuolewa lakini wanaishi kwa manyanyaso kwenye ndoa zao baada ya maisha ya usoni kwani wake zao wako bize kuzunguka kwa watoto wao.......

Na wapo watu waliooana na kuachana uzeeni baada ya miaka mingi ya mateso......

Kuoa au kuolewa bado hakukuhakikishii usalama au furaha ya maisha ya Sasa au ya baadae na kama unaoa au kuolewa kwa matarajio hayo basi upo kwenye hatari ya kupata magonjwa ya mishtuko........

Ndoa ni taasisi pana na yenye mambo mengi sana ambayo huwezi kuyajua bila kuingia........

Wanaokataa kuoa kwa utashi wao wapo sahihi na wanaoamua kuoa kwa utashi wao pia wapo sahihi.......

Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua........

Usiingie kwenye gereza la ndoa kwa msukumo wa watu bali kwa utashi wako binafsi bila kujali umri........

NB;

Kitu cha msingi Kwa sisi wanaume ni kuwa nyakati zako za ujana fanya kazi kwa bidii tengeneza pesa na uwekeze pesa zako zije kukufaa uzeeni...... mwanaume kwenye maisha yako ogopa sana kuwa tegemezi kwa kuwa mwanamume hiyo sio asili yake........
 
Mimi kila mahali wananiambia oa oa nikienda kanisani mch; unaoa lini, mtaani washikaji unao lini,
Kwenye vikao vya ndugu hawawezi maliza bila kuniuliza naoa lini mpaka nimezoea Wala maswali yao hayanisumbui tena.
 
Ungekuwa haujawahi kupata mtoto na mwanamke ningekuelewa. Sasa huyo uliyemzalisha imekaaje hebu tufafanulie.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
haya ya ndoa kuwa ni kipimo cha usalama wa maisha ya uzeeni ni hoja ya kijinga mno, natoa mifano ya majirani zangu hawa 1. ni mwanamke ana watoto watatu alisha achana na mume ( mwamba yupo hapo kati anaishi solo ) na watoto hawana bound na baba yao kabisa mama kawekwa kinyumba na mhuni mmoja 2. huyu na mke wake hawajazaa kila mtu ana watoto zake, sasa mke anapika dukani huko anakula na wanawe na mume anapika kwake anakula na wanawawe hapo pana usala upi kwao 3. mwamba anakuja hapa mtaani kwa mwezi mara moja ana ndoa ya wake saba , na watoto wengine waasiokuwa na mama zao kamrundikia huyu mke hapa ambaye ni mwalimu 4. huyu mwamba ni mtu wa show off anapigiwa mke na bodaboda 5. ana mke wa pili wakwanza aliachana naye , watoto wa jamaa hawaruhusuwi kufika hta kwa baba yao mke kazibiti kipindi, na kuna tetesi mtoto wa pili wa huyu mke anayeishi naye ni mbilikimo si hapo kaibiwa sasa, ni ndoa ya bro mmoja askari mstafu haina stori chafu ze rest ni ndoa za aibu tupu, mwingine anaishi na single mother analea watoto wa mwanaume mwenzake , sijaoa kwa sababu ya hawa wajinga , shida ni sina hamu ya kuishi na mke
 
Sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa na kuishi na mwanamke, labda aje tu nichaape aondoke. Ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kuwa bachela hadi sasa.

Hakuna kitu nakerwa kama kulizwa naoa lini , current sina hata mwanamke anayenivutia kuishi naye siwaelewi, natamani kuishi na mama watoto ila naona kama sina mzuka naye.

Wewe una sababu ipi inakufanya umri ukutupe mkono na usiishi na mke?
sina na siitaki kwa millisecond...
 
Ukiwanna hela unapata kabinti kabici kanakuhudumia tuu cha msingi ukubali kuliwa hela zako
Dunia inachange sana, style ya maisha hubadilika kila uchwao,kwa hali na maisha ya kitanzania kusave pesa ya kutosha kukidhi mahitaji ya kuja kuhonga uzeeni ni kazi, kumbuka ukiwa mzee huna mvuto tena, hata ukifanya biashara hawanunui, nani atanunua bidhaa za mzee wakati kutakuwa na vijana wa wakati huo wenye mvuto na mawazo mapya na mbinu za wakati huo?

Ramani unazozipata leo ukiwa na age mate wako ukiwa mzee hutaweza ku compete na vijana,

Unachotakiwa kufanya mda huu ni kutengeneza familia na uwe na bond na kizazi chako, ujue wameamkaje , wanakula nini, mtoto akianguka umwinue mpe pole jenga uhusiano ili uweke akiba ya fadhila kwenye moyo wake. Usiseme kuwa hatakujali na ukanipa mifano uchwara, Zimwi lokujualo halikuli likakwisha

Ukizeeka hata akili zako hazitafanya kazi vizuri, utaanza kujinyea na utahitaji pampas, utapata stroke , sijui binti wa wap ndogo atakutunza kwa hali hiyo na sijui utampa shilingi ngapi, ila kati ya utakaowazaa yupo mmoja tu Mungu atampa roho ya kukuhudumia.

Labda kama utakataa ndoa basi omba Mungu ufe mapema, hapo ntakuunga mkono.
 
We wadanganye, Kila age ina mahitaji yake. Mungu ni fundi nature itakulazimisha na ukienda kinyume itakuhukumu na muda hautarudi nyuma, utakuwa mzigo kwa watu. Na wewe utajiona ni mzigo hata kama uba pesa. Jidanganye na ujana unaopita kwa kasi.
Yesu alioa ? Adam alioa ?

Naomba majibu
 
Dunia inachange sana, style ya maisha hubadilika kila uchwao,kwa hali na maisha ya kitanzania kusave pesa ya kutosha kukidhi mahitaji ya kuja kuhonga uzeeni ni kazi, kumbuka ukiwa mzee huna mvuto tena, hata ukifanya biashara hawanunui, nani atanunua bidhaa za mzee wakati kutakuwa na vijana wa wakati huo wenye mvuto na mawazo mapya na mbinu za wakati huo?

Ramani unazozipata leo ukiwa na age mate wako ukiwa mzee hutaweza ku compete na vijana,

Unachotakiwa kufanya mda huu ni kutengeneza familia na uwe na bond na kizazi chako, ujue wameamkaje , wanakula nini, mtoto akianguka umwinue mpe pole jenga uhusiano ili uweke akiba ya fadhila kwenye moyo wake. Usiseme kuwa hatakujali na ukanipa mifano uchwara, Zimwi lokujualo halikuli likakwisha

Ukizeeka hata akili zako hazitafanya kazi vizuri, utaanza kujinyea na utahitaji pampas, utapata stroke , sijui binti wa wap ndogo atakutunza kwa hali hiyo na sijui utampa shilingi ngapi, ila kati ya utakaowazaa yupo mmoja tu Mungu atampa roho ya kukuhudumia.

Labda kama utakataa ndoa basi omba Mungu ufe mapema, hapo ntakuunga mkono.
Wee huwajui wanawake.....unaweza kuwa na pumbu za miaka 80 na bado wakazinyonya mzee. Wee kuwa na hela na warembo utawagegeda tuu. Cha msingi ni kuwa na mtazamo wa kwamba hawa wanawake ni chombo cha starehe. Usilete sikui oh nakupenda. Wee wagegede tuu
 
KUOA SIO KAMA KWENDA KUNUNUA VOCHA DUKANI JAMANI ,NI SUALA DEEP SANA NA LINALOHITAJI UTULIVU NA MAAMUZI MAZURI SIO LAZIMA UKIWA 30SOMETHING UWE USHAOA , WANAWAKE WA SIKU HIZI WENGI WAO HAWAELEWEKI ASILIMIA KUBWA
 
Back
Top Bottom