Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

Nakemea roho iliyondani ya neno kataa ndoa kwa damu ya Yesu, hiyo kampeni ikose radha kwa jina la Yesu maana matokeo yake ni kizazi kisichojizuia ambacho kinajiingiza kwenye maswala mbalimbali ikiwemo ushoga!mnakataa ndoa kumbe huduma ya iliyo kwenye ndoa(tendo la ndoa ) mnalitaka mshindwe kwa msaada wa Mungu alie hai.
 
Sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa na kuishi na mwanamke, labda aje tu nichaape aondoke. Ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kuwa bachela hadi sasa.

Hakuna kitu nakerwa kama kulizwa naoa lini , current sina hata mwanamke anayenivutia kuishi naye siwaelewi, natamani kuishi na mama watoto ila naona kama sina mzuka naye.

Wewe una sababu ipi inakufanya umri ukutupe mkono na usiishi na mke?
Hapo umeharibu, kumbe una mwanamke na umezaa nae halafu unataka uishi kipeke yako. Hapo unatafuta laana tu, mimi nilijua hujaleta mtoto duniani, ila yupo basi jitafakari.
 
Kumbuka uhalisia sio sinema ni kuact,sasa mnashindwaje kuact kwa usahihi.
Wewe utakua mwanaume sumbua au ni stingy,mnahisi mkioa wadada wanafaidi Sana.
Mwanaume kamili ni yule alieoa.
Boss kuoa nimuhimu ila usimkamilishe binadamu kwakigezo cha ndoa. Maana kwaujumla unafikra kuwa mwanamke atamkamilisha mwanaume, wakati biblia ilishasema amelaaniwa amtegemeae mwanadamu. Frontliners wa kupinga ndoa walikuwa wanawake through feminism hivyo wanaume walipokubali matokeo mwanamke analilia ndoa tena so ni kama mind games kwa wadada hawajui kuwa ni maisha haya.
 
Nimecheka sana yaan ulivyoandika vizuri ingekuwa NECTA basi ungepata 76%,kuna wengi wanakufa wakiwa peke Yao wanakuja kugundulika baada ya harufu kuwa Kali sababu wanaishi peke Yao kama vp tafuta mtu mueleze wewe sio Muoaji mponde raha tuu utaona atakaa muda gani kabla ya kukukimbia,tatizo hamsemi then Maisha haya wadada wameshtuka kuwa wamekuwa wa kuzalishwa tuu Nyie wa kataa Ndoa mnatengeneza single mother wengi sana
Mkuu wangeshtuka hizo kesi zingeisha ila ndio kwanza zinazidi. Tamaa, wadada na tamaa, ni tatizo aisee.
 
Kusema ukweli, binafsi nikishamgegeda mwanamke, namuona anafanania hivi
images.jpg

Sio hivyo tu, hata akiniomba pesa namuona the same way

Atakayekutana na ubavu wangu, amfanye tu mke wa pili kwa kweli. Sina muda mchafu mimi. Famasiala nini
 
Kumbuka uhalisia sio sinema ni kuact,sasa mnashindwaje kuact kwa usahihi.
Wewe utakua mwanaume sumbua au ni stingy,mnahisi mkioa wadada wanafaidi Sana.
Mwanaume kamili ni yule alieoa.

Mwanaume kamili ni yule alieoa , je Na mwanamke kamili je?
 
Kupanga ni kuchagua mzee kila mtu afe na msalaba wake sio kuanza kusumbuana kuhudumia mtu aliyekataa kujenga familia yake
Wanakuwaga wasumbufu sana watu wa hivyo..!! Ni swa na mtoto anayekataa shule akiwa form two kwa kujiona anayaweza yote kwa kujiamini kijinga kwake..!! Ukifika muda wa kutakiwa kuondoka home ndo shughuri inaanzia hapo.. Kila mtu mbaya, kila urithi atataka apambane na watu..!! Kila atakayemnyima chochote maelewano yanaondoka
 
Kuna hatua ya utu uzima ukifika halafu hauna msaidizi(mke) ndani ya nyumba inakuwa changamoto sana.
Kuna muda unafika nguvu zinaisha akili inachoka,mwili unachoka na magonjwa yanakimbizana
 
Nimecheka sana yaan ulivyoandika vizuri ingekuwa NECTA basi ungepata 76%,kuna wengi wanakufa wakiwa peke Yao wanakuja kugundulika baada ya harufu kuwa Kali sababu wanaishi peke Yao kama vp tafuta mtu mueleze wewe sio Muoaji mponde raha tuu utaona atakaa muda gani kabla ya kukukimbia,tatizo hamsemi then Maisha haya wadada wameshtuka kuwa wamekuwa wa kuzalishwa tuu Nyie wa kataa Ndoa mnatengeneza single mother wengi sana
Usingke maza wanautaka wenyewe maana wao wanapanua panua miguu hovyo
 
Kuna hatua ya utu uzima ukifika halafu hauna msaidizi(mke) ndani ya nyumba inakuwa changamoto sana.
Kuna muda unafika nguvu zinaisha akili inachoka,mwili unachoka na magonjwa yanakimbizana
Ukiwanna hela unapata kabinti kabici kanakuhudumia tuu cha msingi ukubali kuliwa hela zako
 
Kumbuka pesa zinaisha ila utu unaishi.
Hizo pesa atazitumia ovyo zikiisha atakukimbia tu
Wacha anikimbie ila mambo ya kupigana pini na warembo wamejaa tele hapana. Hizi mbususu tuzigegede tuu jamani. Uzeeni tutajuaga huko huko
 
Wacha anikimbie ila mambo ya kupigana pini na warembo wamejaa tele hapana. Hizi mbususu tuzigegede tuu jamani. Uzeeni tutajuaga huko huko
Ya uzeeni unayajua hata sasa..!! Hili la kusema tutajuaga huko huko ni sawa na mbuni anayeingiza kichwa majanini akiamini adui asipomuana maana yake hayupo.
 
Back
Top Bottom