Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

Wenye umri wa miaka 35 hamjaoa na hamna hamu ya ndoa njooni tujadili

Kwa sasa una nguvu. Una uwezo wa kufanya kila kitu mwenyewe. Utafikia umri ambao unahitaj msaada wa mtu mwingine. Na kuna misaada anayeweza kuitoa ni mke wa ndo tu..!! Sasa leo hii hujaowa na una miaka 35, utakapofika miaka 65, na huku huna mke uliyejenga naye mahusiano mazuri tangu ukiwa 57 year ulipoowa, tegemea kupata shida sana.
Hivi unafahamu kuwa kuna kila uwezekano ukaoa ukawa na miaka 25 ukajaliwa watoto then ukafika miaka 35 ukiwa peke yako tu wote watoto na mama yao wakawa ni marehemu.

Kamwe usijifariji eti uzeeni watoto na mke wako watakuhudumia, hujui ni lini watafariki na pengine wakakuacha wewe na upweke huku duniani.

Ndoa sio dhamana ya maisha bora uzeeni.
 
TAFUTA AJIRA KWANZA HAMU ITAKUJA
ajira ipi mzee mimi mwalimu ujue , mkulima na nafanya biashara , shida mimi nin watoto wawili sina mzuka na mama yao nawaz nikuvut mke mwingine wanangu watanyanyasika sana hasa huyu wa kiume , au mam yao aishi n baba mwingine ( bodaboda) hasa itakuwaje upende wa watoto hilo limekuwa mtihani
 
Oa tu ila utapata mojawapo ya haya
1. Mke mwema mwenye kibali, hapa mambo yako yatanyooka mnoo na utawqshangaa wanaoponda ndoa
2. Mke mwenye makelele na gubu, hapa utaona ndoa ni mzigo na utumwa kifupi utaona hufurahii...
3. Mke mwenye mikosi na nuksi, hapo utajiona hupigi hatua yoyote na utajiunga na team kataa ndoa

Hivyo basi oa mengine utajua humo humo ndani ya ndoa
 
Hata muoaji anaweza kuwa mkosi kwa mke wake
Anaweza kuwa na gubu
Anaweza kuwa mzinzi
Anaweza kuwa anamtegemea mke
Anaweza kuwa hana nguvu za kiume
Anaweza kuwa SHOGA
 
sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa n kuishi n mwanamke ,labda aje tu nichaape aondoke , ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kuwa bachela hadi sasa ? hakuna kitu nakerwa kama kulizwa naoa lini , current sina hata mwanamke anayenivutia kuishi naye siwaelewi, natamani kuishi na mama watoto ila naona kama sina mzuka naye weweunasababu ipi inakufanya umri ukutupe mkono na usishi na mke
Mhhh
 
Back
Top Bottom