mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Come 65 years utajutia kufika 35 kuwa hujaoasasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa n kuishi n mwanamke ,labda aje tu nichaape aondoke , ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazowepata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kutokuoa , wewe je unasababu ipi inakufanya umri ukutupe mkono na usishi na mke
Come 65 years utajutia kufika 35 kuwa hujaoa
Ukipata bwana mwenye hela je?KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
watoto ninao kama wawili naenda pata mwingine soonCha muhimu kuwa na watoto tu
#KATAA NDOA
Life halieleweki mkuu... Kama Bado unajitafuta na huna uhakika wa mlo usioe..sasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa n kuishi n mwanamke ,labda aje tu nichaape aondoke , ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kuwa bachela hadi sasa , wewe je unasababu ipi inakufanya umri ukutupe mkono na usishi na mke
swadaptaawatoto ninao kama wawili naenda pata mwingine soon
Unaweza kuoa na watoto wasiwe na bond na wewe more over wasiwe hata wa kwako.Utakuja kujua umuhimu WA ndoa ukishafika miaka 50 huna hata mtoto mwenye bond na wewe .hapo ndio utajua hujui
HahahSijui nimepotea njia kwenye huu Uzi ila kataa ndoa
Kwa sasa una nguvu. Una uwezo wa kufanya kila kitu mwenyewe. Utafikia umri ambao unahitaj msaada wa mtu mwingine.sijakuelewa mzee
Msosi sio shida nipo mikoani huku ,hata kwa salary watoto wanapata msosi mbona nawalipia ada kwenye hizi english mediumLife halieleweki mkuu... Kama Bado unajitafuta na huna uhakika wa mlo usioe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii picha ina ujumbe mzito sana japo huwa inachekesha
Ukilinganisha probabilities za hizo hali mbili, aliyeowa ana nafasi kubwa sana ya kuwa na bond nzuri na wanawe kuliko huyo mwingineUnaweza kuoa na watoto wasiwe na bond na wewe more over wasiwe hata wa kwako.
TAFUTA AJIRA KWANZA HAMU ITAKUJAsasa nina miaka 35 sipati hamu kabisa ya kuoa n kuishi n mwanamke ,labda aje tu nichaape aondoke , ziko shida nyingi na hatari nyingi ninazoweza kupata kwa kutoishi na mwanamke, kiufupi sina sababu ya msingi ya kuwa bachela hadi sasa ? hakuna kitu nakerwa kama kulizwa naoa lini , current sina hata mwanamke anayenivutia kuishi naye siwaelewi, natamani kuishi na mama watoto ila naona kama sina mzuka naye weweunasababu ipi inakufanya umri ukutupe mkono na usishi na mke