Wenye uzoefu wa kuishi kwa ndugu nipeni muongozo

Wenye uzoefu wa kuishi kwa ndugu nipeni muongozo

Watu wana moyo aisee!mimi hata kulala usiku mmoja kwa ndugu najiona kama nimelala mahabusu,yaani mimi huwa nafikia guest tu labda niende kijiji ambacho hata guesthouse hakuna,lkn siwezi kukaa zaidi ya siku moja
Huyo ni graduates,Hana vyanzo.Kajiegesha Kwa bro wake kusudi michakato mingine iendelee
 
Huyo ni graduates,Hana vyanzo.Kajiegesha Kwa bro wake kusudi michakato mingine iendelee
una uhakika ?? wewe kila mtu wa JF unamfahamu 😅😅😅😅 pole for taking shit too serious
 
Umestaafu kushika peni na Bado unaomba ushauri/ mbinu za kuishi kwa nduguyo, au Kuna ndugu wamekuja kuishi kwako ungefafanua kuwapa watu mwanga waanzie wapi
Aah shughulikia matatizo yako kwanza mkuu

hii case was closed earlier n nikaeka clear that i do not need any new reply

get it right pls n get urself a stuff to do okay mr
 
GUYS MEFUNGA hii thread in fact …… sihitaji any new reply
 
it ain’t funny toka kwa uzi wangu kwanza pls
Hupendi ugali! Halafu ukute ulienda na kibegi chako Cha mgongoni tu pamoja na miwani yako,iphone Yako na USB na ka mkate mkononi[emoji2]

Ungeenda na gunia la mchelee ukawa unapikiwa wali[emoji849]
 
Hupendi ugali! Halafu ukute ulienda na kibegi chako Cha mgongoni tu pamoja na miwani yako,iphone Yako na USB na ka mkate mkononi[emoji2]

Ungeenda na gunia la mchelee ukawa unapikiwa wali[emoji849]
😅😅😅 pole mwaya

so unafikir kila mtu anavaa kigegi masikini 😅😅😅😅😅

Pole sema hujaielewa thread yangu vizuri

next time sema nikueleweshe zaidi

pole my little boy
 
una uhakika ?? wewe kila mtu wa JF unamfahamu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] pole for taking shit too serious
[emoji1787] comment zako huko juu zinakufunga.Ushasema mwenyewe, wewe ni graduate tena fresh from school.Umeenda Kwa kaka Yako Kuna inshu unaifatilia.

Cha ajabu Sasa.

Kuna inshu unaifatilia lakini muda mwingi uko home Kwa broda ukimsaidia wifi Yako kazi,Kiasi kwamba ukichill kidogo na kushika simu wifi Yako anagomba kuwa uko bize na simu saana.

Kutoka mpaka ruhusa,ndiyo ni vizuri! Lakini hakuna sehemu yoyote uliyo Onesha hiyo inshu iliyo kupeleka unaifanyia kazi.Kubwa kuliko umekuja kuzungumzia kuhusu chakula kuwa ni ugali tuu karibia wiki tatu lakini una Imani Labda pasaka ambayo ni jumapili utakula wali.

Sasa kwako kufanya kazi lakini maneno ya wifi Yako kuwa hufanyi kazi,chakula kuwa ni ugali Kila siku unaona ni kero KUENDELEA kuwa Kwa kaka Yako pia Mtoto wake Kaka Yako kuharibu miwani na usb ndo unaona kama adhabu.

Unadai Mama yako nyumbani anakwambia uendelee kuishi huko na Kaka Yako anakwambia uendelee kuwa kwake,Lakini wazo lako ni kutaka kurudi kwenu,

Hujali inshu iliyo kupeleka Wala sababu iliyo kufanya uwe Kwa Kaka Yako.Akili inawaza urudi kwenu TU.

#RUDI KWENU TU,SEEMS HAKUNA CHA INSHU WALA NINI,ULIENDA KUISHI NA SIYO KWA AJIRI YA INSHU.KWAHIYO RUDI KWENUU ULISHA CHOKWA.!!! halafu kisa ni kaka Yako unataka akusukilize wewe kuliko Mke wake[emoji13][emoji13].Rudi kwenu TU ukakuee.

Kuhusu vitu alivyo haribu mtotoo Haina haja ya kumlipisha kaka Yako,Maana Mtoto ni wake bado na wewe ni ndugu yake huyo Mtoto(Shangazi)[emoji1787].Samehe TU.Akikulipa fresh ,asipo kulipa usiweke chuki.

Kwa heri ndo maisha ya mtaani hayo na Bado Sasa maana akili Yako inakutuma kuwa wewe bado mtotoo Kwa umehitimu chuo uko Kwa wazazi.Ngoja wazazi wakuone mzigo,Sijui utauliza uendee wapi[emoji1787][emoji1787].Oke love connect ipooo.

Byee!!
 
Kwanini asingeanza michakato kabla hajamaliza chuo!?,hii nchi graduate ni wazembe kuliko waliishia standard seven
Na ana miliki iphone na anasema yeye bado ni mtoto Kwa kuwa Bado Yuko kwenye uangalizi wa wazazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. She is still young [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].Bora arudi kwao maana kwao mchelee umejaa teleeee[emoji2][emoji2][emoji2]
 
ukome afu usifikiri kila mtu unamjua
Kwahiyo wewe unanijua mpaka kusema sura yangu mbayaa???

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].

Chagua uendelee kula ugalii au urudi kwenuuu.

Kumbuka na kwenu kuna muda watakuchoka maana ndo ume graduate plus na ajira za siku hizii[emoji1787][emoji1787].Watakwambia unajaza choo hapo ndo utaelewa maana ya utu uzima dawa

Rudi kwenu ukajiongezee uwe na kwako.Acha makasiriko.
 
kua busy ujiuzie simu zako used bru
Relax Mkuu!!! Haina haja ya matusi na kupanikiii. Kaoshe vyomboo ubandike maji ya ugali Kwa ajiri ya usiku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nina unsubscribe.byee[emoji28][emoji28].
 
Relax Mkuu!!! Haina haja ya matusi na kupanikiii. Kaoshe vyomboo ubandike maji ya ugali Kwa ajiri ya usiku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nina unsubscribe.byee[emoji28][emoji28].
Ty
 
Back
Top Bottom