Wenye uzoefu wanisadie nahisi kabisa sio mtu wa kawaida

Wakuu Naombeni Msaada.

Ghafla ikatokeo pisi moja inataka kufanana msomali hiyo rangi yake jamani. Ni mrembo haswa. Akaja moja kwa moja akaja nilipokaa. Kila njemba iliyokuwa hapo ilikuwa inamtolea macho. Nikajifanya kama hajanishtua. Kumbe aliniongelesha sikumsikia labda kwa sababu ya mziki au kuvimba kwangu. Ikabidi anishtue kwa mkono. It was such a gentle touch na kuniuliza " hapa kunaitwaje" na lafudhi flani nikajua huyu sio mbongo. Akaagiza redds zake mbili na akalipia.. kwa ufupi tulipata kufahamiana yeye ni mkenya ( mmombasa) yupo dar kikazi Tuliongea vitu vingi sana. Alilipa bili yote yangu na yake

Kinachonileta kwenu wakuu niliondoka naye mpaka hotel aliyofikia. Kusema ukweli huyu mpwani wa mombasa anaweza kukufanya ujione wewe ndio mwanaume peke yako dunia nzima wengine ni kenge tu. Nikaelewa kwa nini kivuko chetu kimepelekwa mombasa kufanyia matengezo ya 7 billion wakati kipya ni 8.5 billion. Hana pupa hata kidogo very calm and composed sijawahi ona.. Ule ukweli hatukutumia condom.
Kwamba kiufupi ulikutana na toto la snika?
 
Hao wa mombasa wakija dar wengi hua hawapo kikaz wala nini ni wauza k ki digital

We jichanganye tu...nimekutana nao wengi sna tinder
 
Wakuu Naombeni Msaada.

Mimi ni mtumishi wa umma ila nipo likizo ni wiki ya pili sasa. Jana mida ya saa tano usiku hivi nikiwa nimechoka tu kukaa ndani siku nzima nikaamua nitoke. Kabla ya kutoka nikapiga simu kadhaa kwa vipengele vyangu nikaona navyo havieleweki vinanipangia muda wa kuvitafuta wakati hela yangu mwenyewe. Nikatoka zangu mpaka tiptop bar. Huwa napapenda tu kuna vibe flani la uswaziuswazi.

Nimeingia zangu nikakaa zangu peke yangu na nikaletewa serengeti zangu tatu na kuanza kuupa mwili pole kwa kukaa ndani siku nzima. Hii sehemu huwa kuna wale dada zangu wanaotafutwa na mstahiki meya ila sikuonesha ushirikiano nao wowote so nilikuwa tu peke yangu

Ghafla ikatokeo pisi moja inataka kufanana msomali hiyo rangi yake jamani. Ni mrembo haswa. Akaja moja kwa moja akaja nilipokaa. Kila njemba iliyokuwa hapo ilikuwa inamtolea macho. Nikajifanya kama hajanishtua. Kumbe aliniongelesha sikumsikia labda kwa sababu ya mziki au kuvimba kwangu. Ikabidi anishtue kwa mkono. It was such a gentle touch na kuniuliza " hapa kunaitwaje" na lafudhi flani nikajua huyu sio mbongo. Akaagiza redds zake mbili na akalipia.. kwa ufupi tulipata kufahamiana yeye ni mkenya ( mmombasa) yupo dar kikazi Tuliongea vitu vingi sana. Alilipa bili yote yangu na yake

Kinachonileta kwenu wakuu niliondoka naye mpaka hotel aliyofikia. Kusema ukweli huyu mpwani wa mombasa anaweza kukufanya ujione wewe ndio mwanaume peke yako dunia nzima wengine ni kenge tu. Nikaelewa kwa nini kivuko chetu kimepelekwa mombasa kufanyia matengezo ya 7 billion wakati kipya ni 8.5 billion. Hana pupa hata kidogo very calm and composed sijawahi ona.. Ule ukweli hatukutumia condom.

Na asubuhi amenipa cha asubuhi kiroho safi. Na tumeenda dispensary kucheki afya zetu wote tupo fresh..Wakuu ninachoombea msaada ni kuwa nimeoga sijui mara ngapi ya harufu ya huyu mdada imenikaa hainitoki chumba changu chote nasikia harufu yake. I can't think of anything namuwaza muda wote. Sijawahi tokea na kitu kama hiki sio kawaida na wasiwasi si binadamu wa kawaida. Ni kama natembea naye muda wote. Naisense her presence kila sehemu.

Wakuu isije ikawa ni jini.. amenipa namba yake kwa masharti yeye ndio atanifuta sio mimi nimtafute... ubaya sina furaha kabisa ghafla yaan kuna vitu sivielewi tangia nimeachana naye hiyo asubuhi. Nikimfikiri ndio napata furaha sijui nielezeje wakuu mnielewe. Naona hii ni hatari naombeni msaada
FaizaFoxy kwaiyo umenicheat mke wangu eeeh umeenda kukitembeza huko tiptop ngoja nirudi jplil ntakuonyesha mm ni nani 😒😒😤😤
 
Harufu yenyewe mbaya au nzuri? We Bantu Lady njoo unene jambo huku. Kuna mwamba harufu imemngángánia
 
Wee mimi mwenyewe nilishakutana na jini mwanamke. Alinifyonza mfyonzo mrefu si wa nchi hii. Baada ya hapo, hatukumpata ndani ya sekunde.

Kariakoo ndanindani, maana aliniangalia muda hakuwa anasema kitu, ndiyo mwisho akafyonza. Wenyeji pale wakasema ni jini huyo!!!
 
MI sitoi comment yoyote baada ya hisia zako kukutuma kuwa sie wote ni kenge[emoji51][emoji51][emoji3]
 
Mnyandua vigodoro wa Boko kapata miss Mombasa anaona kapata jini. Kumbe kapata mtoto wa mjini😂
 
Kwanini ulijirahisisha ivyo ww mwanaume?,Kama ni kweli nenda kaombewe kabla mambo hayajawa makubwa.
Huko kukosa furaha na kuwa na wasiwasi Kuna maana Sanaa ktk mwili Jambo baya linapo ingia.
 
cheap as hell,vinywaji ulipiwe na gesti uingizwe kesho ukijikuta mke wa mtu unaanza kulialia ohh mimi namkosi ohh mie askari......shubamit nyie ndomnaichelewesha mvua
 
Back
Top Bottom