Wenye wapenzi (wanawake) humu JF mliwezaje kuwapata?

🤣🤣🤣🤣👏👏🤣🤣🤣🤣
 
Nenda kwanza kasafishe nyota Kisha urudi saa6 usiku humu sawa kijana
 
Hapana kaka, kwani wewe hutaki uwe unalitagi shemu lako mnapiga stori! mbona itapendeza
I don't trust in love brother!

Siamini kama Kuna mwanamke mwenye anaweza kuendana na ndoto na maono niliyo nayo ... Si kama hawapo! Ila Sijakipa Kipaumbele hicho kitu!

Maisha ni muda!
Maisha ni Nyakati!
Maisha ni hadithi!

Siwezi ku mingo na mwanamke just for sex, siwezi ku pretend ... Maana NACHUKIA kuwa sehemu ya maumivu na majonzi katika maisha ya watu wengine!

Nilishaumiza mioyo ya wadada huko nyuma kwa Sababu ya ubinafsi wangu na tamaa tu ya sex! ... Nikajifunza!

I enjoy kuishi kama frateriii 😂!

Life linasonga!

Sikujiumbaaa!
Sikutumia maombi ya kumuomba anilete duniani!

So kama katika kusudi alilonipa kulitimiza hapa duniani kabla sijafa! Litahitaji niwe na mke atanipa tu kwa wakati wake!

Kama halihitaji mke, fresh pia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…