Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

Utakua shoga!! uneingia kwene reli isiyo yako
 
Kwa mawazo yangu, mtu anayependa sex sana, ndiyo atahitaji round hizo 3,4. Kwa ambao hawapendi moja inatosha na kukinai kabisa.
 
Kwa mawazo yangu, mtu anayependa sex sana, ndiyo atahitaji round hizo 3,4. Kwa ambao hawapendi moja inatosha na kukinai kabisa.
Aaa hio nyapu jichunguze huenda ina mapungufu ila kuna nyap ukikaaa ukikumbuka kidg tu au akituma message, calls machine automatic ni inasimama madam
 
Brother unatatizo ila wewe hujui kama unalo. Utakuwa umeathirika sana na PUCHU.
 
Aaa hio nyapu jichunguze huenda ina mapungufu ila kuna nyap ukikaaa ukikumbuka kidg tu au akituma message, calls machine automatic ni inasimama madam
Nyapu yangu haina shida. Uwe unaelewa mtu kwanza anachoandika.
Nimesema kwa mawazo yangu, round moja kwa wengine inatosha. Kwa wengine wanaopenda 3,4.

Hivi binadamu wote ni lazima tuwe sawa vitu tunavyopenda na kuvifanya? Wengine hatufanyi kabisa haya na hapo? Sex si kitu nikikosa nitakufa, siyo pumzi hii.
Eti wanasema wanaume wasio na pesa wanasex sana je ni kweli? Naona uko kwenye hili kundi.
 
Gonga Nje ya ndoa mkuu
Hizo 3/4
zinapatikana Nje ya ndoa tu
Ndani kazi KUTOKANA na kero na stress za nyumban...

Nakuhakikishia utaniambia
 
Wanaopiga kimoja utawajua tu😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…