Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
HATA Chama anamshanga nzizi anafungaje? Cha kufanya wacha hiyo mambo, kuwa mshauri wa vijana.Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!!
Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi. Elimu yenu tafadhali.