realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Hiyo ishaliwa hiyoHalafu siku ya valentine nilikutafuta PM nikutumie zawadi, kumbe umefunga PM, ni-inbox haraka kabla sijaila zawadi yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ishaliwa hiyoHalafu siku ya valentine nilikutafuta PM nikutumie zawadi, kumbe umefunga PM, ni-inbox haraka kabla sijaila zawadi yako.
Hii inaitwaje na inapatikana wapi?Au gonga hii hapa before matchView attachment 3240948
Ni PM nikupeHiyo ishaliwa hiyo
Tatizo sio kutoshekaTatu zote za nini kama unatosheka na kimoja?
Nipe hapa hapa 😅Ni PM nikupe
Punguza Nyeto, alafu pia sio sifa kupiga mabao mengi.Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!!
Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi. Elimu yenu tafadhali.
Sawa wengine si watazichukua hahaha.Nipe hapa hapa 😅
Inatosha mkuu haswa ukimpata mwenye madeni ya kausha damu😜Ndo hivyo, baada ya hapo hamu inatoweka tu.
muone daktariAu ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!!
Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi. Elimu yenu tafadhali.
Kawaida hiyo. Ukimaliza cha kwanza jipe dakika chache urudi hali ya kawaida. Kama hufanyi mazoezi jitahidi uanze ya kukimbia ili uwe na stamina ya kuunganisha.Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!!
Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi. Elimu yenu tafadhali.
Raha ya mechi magoli yawe mengi.Tatu zote za nini kama unatosheka na kimoja?
We kimoja kinakutosha? cha sekunde 15?Tatu zote za nini kama unatosheka na kimoja?
Naunga mkono hoja.
Mkuu muhimu saana kusaidiana, Kama vile linapokuja swala la singlo momz wanaawake wanavyo team up kupeana moyo...Mada kama hizi ndipo utajua wanaume wa Tz walivyo na mshikamano linapokuja suala la mwenzao kushindwa kuichakata vyema au kuzagamua, na ajabu huwa wanasikitishwa kwa pamoja na wanalibeba tatizo kama la kwao wote..
Watakuja wenye kila aina ya ushauri, mwingine kunywa eneji, mwingine kula miguu ya kuku anayetaga basi tu ili mradi wamuokoe mwenzao...
Hii comment nilivyoandika wengi wamedhani hii ID ni Ke...Mkuu muhimu saana kusaidiana, Kama vile linapokuja swala la singlo momz wanaawake wanavyo team up kupeana moyo...
Hivi unajisikiaje pale ambapo mwanaume anapiga kimoja Kama kuku tuu??
Wengi wakina Nani mkuu?? Mimi nilidhani kama hivyo.Hii comment nilivyoandika wengi wamedhani hii ID ni Ke...
Mzee nimejijumuisha humo kwenye wanaume wa Tz..