Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

Nyapu yangu haina shida. Uwe unaelewa mtu kwanza anachoandika.
Nimesema kwa mawazo yangu, round moja kwa wengine inatosha. Kwa wengine wanaopenda 3,4.

Hivi binadamu wote ni lazima tuwe sawa vitu tunavyopenda na kuvifanya? Wengine hatufanyi kabisa haya na hapo? Sex si kitu nikikosa nitakufa, siyo pumzi hii.
Eti wanasema wanaume wasio na pesa wanasex sana je ni kweli? Naona uko kwenye hili kundi.
Weee koma usinifokee
 
Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!!

Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi. Elimu yenu tafadhali.
Kwanza mnatakiwa kujua kuwa, mwanamke hahitaji mabao mengi, anahitaji bao moja tu refu, yaani ni bora umpige mwanamke bao moja linalochukua nusu saa, kuliko mabao matatu yanayochukua dakika moja kama ya jogoo.
 
Hahaa bao 3 unajenga SGr mkuuu

Wengine hizi baooo tunazipigia kwa nyumba ndogo

Na usizizooeee mara kwa mara sio nzuri kiafyaa above 38+
 
Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!!

Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi. Elimu yenu tafadhali.
20250102_083546.jpg
Welcome to the club
 
Kwanza mnatakiwa kujua kuwa, mwanamke hahitaji mabao mengi, anahitaji bao moja tu refu, yaani ni bora umpige mwanamke bao moja linalochukua nusu saa, kuliko mabao matatu yanayochukua dakika moja kama ya jogoo.
Bao Moja nususaa unatafuta mtotooo kha
 
Shida unafanya ili umwage, change mtazamo wako kwanza juu ya tendo na unaefanya nae Hilo tendo, ukiweza hii utakuwa umepona tatizo lako
 
Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!!

Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi. Elimu yenu tafadhali.
Vitatu vya nini mkuu, kimoja tu cha afya kinatosha kama ni cha dk 30 ukishusha unamuacha anapitiwa na usingizi kabisa.

Sio unapiga vitatu vya dk tano tano ni matumizi mabaya ya rasilimali mbegu.
 
Na hapo mshazoeana sana mpaka kila mmoja hana hamu na mwenzake
Na mim nahisi ni hivyo maana cha kwanza napiga nisipokaa vizur naweza nisimalize,ila kurudia cha pili sikuiz sijui shida iko wapi maana hapa nyuma kidogo nilikuwa naweza kuunganisha au kupiga mda wowote,ila saiz siwez kirudia tena hadi najishaangaa sijui ni umri,
 
Umri, kisukari na presha mkuu
 
Back
Top Bottom