Leonce jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2023
- 1,815
- 2,651
Weee koma usinifokeeNyapu yangu haina shida. Uwe unaelewa mtu kwanza anachoandika.
Nimesema kwa mawazo yangu, round moja kwa wengine inatosha. Kwa wengine wanaopenda 3,4.
Hivi binadamu wote ni lazima tuwe sawa vitu tunavyopenda na kuvifanya? Wengine hatufanyi kabisa haya na hapo? Sex si kitu nikikosa nitakufa, siyo pumzi hii.
Eti wanasema wanaume wasio na pesa wanasex sana je ni kweli? Naona uko kwenye hili kundi.