Kjn nione inbox tiba ipo, ukiwa Dar itakuwa vzr zaidiNaomba nieleweke, si kwamba nachoka ila nakuwa najisikia vibaya mpaka basi......kama Kuna kichefuchefu flani kinakuja. Hata ikitokea nokaendelea, basi siinjoi kabisa kabisa, nakuwa najilazimisha tu.