Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

Huwezi ukawa unaperform vizuri wakati huna kipato cha kueleweka,madeni yanakuandama ukikaa, ukisimama ukilala unaota madeni.

Unakaa mabondeni,nyumba yako mbovumbovu haina hadhi unaishi humo kujihifadhi tu.Vaa yako ni kwajili ya kujistiri tu,mambo ya kuvaa nguo nzuri na nadhifu kwako ni anasa😣😣😣Huna kipando hata vits au ist, unamzigo wa ndugu na wanao unakuelemea uwahudumie🙌🙌🙌

Gentleman nothing will ever be easy when you are POOR!!!
 
Kila mtu ana namna anavyoshiriki...

Kuna wanawake wanajua kusisimu aisee... Utakuwa unarudia na kurudia..

Kimsingi ukipata mwenza anayejua nini anapaswa kufanya unaweza ukaenda zaidi ya hizo 3. Lakini huwa ni moja baada nyingine kwa the whole night.
 
Kama hukuwagonga vizuri ulipokuwa huna majukumu.Right now tulia tu.Tafuta hela!!!!Tafuta hela!!!!

Kwa mwendo huu wa uchumi wa STANZA vichwa vinawaka moto🔥🔥 balaaa alafu wewe unapata wapi hamu ya kuuchosha mwili.
 
Masaa 12 au zaidi ndio yanatoa bao 3 au zaidi,tofauti na hapo ni punyeto tu jombaa,usijichoshe fanya vile uwezavyo na Kwa furaha yako tu!!!
 
BINAFSI VITATU NDIYO NAONA NIMEPIGA KINYONGE

DEMU AKILA HELA YANGU NI KUANZIA NJEGERE NNE............
 
Kila mtu ana namna anavyoshiriki...

Kuna wanawake wanajua kusisimu aisee... Utakuwa unarudia na kurudia..

Kimsingi ukipata mwenza anayejua nini anapaswa kufanya unaweza ukaenda zaidi ya hizo 3. Lakini huwa ni moja baada nyingine kwa the whole night.
Dah! ukweli mtupu kuna wanawake wanavutia mpaka kero ya ukikaa unamuwaza tu.
 
Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!!

Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi. Elimu yenu tafadhali.
Una umri gani? Mimi kuna mmoja nilimpiga tatu, hadi akawa analalamika nimemkomoa.
 
Back
Top Bottom