Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!!

Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi. Elimu yenu tafadhali.
Hata mimi inanitokea hivyo mpaka natamani huyo demu aondoke zake tu, sijui tatizo ni nini
 
Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!!

Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi. Elimu yenu tafadhali.
1. Supportive infrastructure
2. Improved communication skills
3. Availability of scarce resources
4. Good leadership
 
Achana na hao wasiokuwa na mvuto, watakuambia ni nguvu za kiume; tembea na kifaa cha namna hii, bunduki hailali masaa mawili masaa mfululizo
leo3-jpg.3240995

Huyu ni mpaka nne huyu😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😜🌹🌹🌹🌹🌹🌹

My qashy mamy😍
 
Kwa sababu umekuwa ukihadithiwa kwamba ww ni kidume(play your masculine role) kwamba mwanaume huwa halii halii n.k n.k in essence you devoid yourself of emotions.

Na kuwa, kidume unatakiwa cjui umgueze mwanamke hivi, umlambe vile, na mwanamke pia anambiwa alale hivi abinuke vile na kuwa submissive agongwe mpaka dume akojoe💦🤸‍♂🏌‍♂️

It need not to be.we could relate to each other, me na ke, in physicall and emotional intimacy. If only we could take our coats of armor and become vulnerable., one to another, as human rather than super-beings and individuals rather than sexual role players.

Awali ya yote, sex as a competitive sport can become boring and meaningless. Eti upige Goli tatu?

Mkuu utotoni ulikuwa ukipakatwa? Ulibebwa mgongoni yango na yango? Ngozi kwa ngozi? Ama ulibebwa na basineti na kigari cha batoto? Ulinyonya matiti ama ulinyonya maziwa ya chupa?
Aliyemuelewa huyu mkuu anipe samari
 
Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!!

Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi. Elimu yenu tafadhali.
ADA- Haichukui nafasi ya Daktari lakini inaweza kukupa ushauri wa kile unachoweza kuwa unapitia
 
Huyo wa kugongwa bao nyingi yuko wapi ikiwa bao moja tu likichelewa kutoka unasukumiwa mbali na unaambiwa tayari unaniumiza? Inabidi uridhike na bao moja tu la ushindi hadi wakati mwingine wa mechi
 
Mada kama hizi ndipo utajua wanaume wa Tz walivyo na mshikamano linapokuja suala la mwenzao kushindwa kuichakata vyema au kuzagamua, na ajabu huwa wanasikitishwa kwa pamoja na wanalibeba tatizo kama la kwao wote..

Watakuja wenye kila aina ya ushauri, mwingine kunywa eneji, mwingine kula miguu ya kuku anayetaga basi tu ili mradi wamuokoe mwenzao...
eti wamuokoe mwenzao,,ahahah!

Bibie lazima tupeana ushaur wakula mzigo kwa ufasaha maana mnatuchuna sana.
 
Drink alkasus and stop borrowing, debts reduce the ability to perform well in that game.
 
Back
Top Bottom