Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

Mimi nikiwa kwa michepuko huwa sipigi bao zaidi ya 1 hata iweje. Ila hilo bao 1 tunaweza kulitafuta kutwa nzima.

Hii huwa inanisaidia nikirudi home wife akitaka nakua sijachoka naweza piga kama kawaida.
 
Kama moja tu unatosheka basi haina haja ya kulilia mabao matatu.
Hizo nguvu za mabao mawili yaliyobakia kazimalizie shambani(kulima!!!)
 
Tatizo ni upumbavu wa ccm
 
Naomba nieleweke, si kwamba nachoka ila nakuwa najisikia vibaya mpaka basi......kama Kuna kichefuchefu flani kinakuja. Hata ikitokea nokaendelea, basi siinjoi kabisa kabisa, nakuwa najilazimisha tu.
Suala hilo ni la kisaikolojia zaidi.

Waone wataalamu wa magonjwa ya akili/saikolojia haraka iwezekanavyo.

Kwa hali ya kawaida jambo la asili haliwezi kukuchukiza na kukuondolea amani kwa namna unavyojisikia wewe.

Watu wanahonga ama kutoa mahari juu ya jambo hilo hilo, ina maana wanafurahishwa nalo na wanainjoi, iweje kwako?

Ukibweteka, utafika muda hautahitaji kushiriki tendo, maana kwako ni kero na unaona ni uchafu.

Na utakapojilazimisha, jongoo halitapanda mtungi, kila litakapotaka kupanda litaishia kuteleza na kudondoka chini.
 
Kwa sababu umekuwa ukihadithiwa kwamba ww ni kidume(play your masculine role) kwamba mwanaume huwa halii halii n.k n.k in essence you devoid yourself of emotions.

Na kuwa, kidume unatakiwa cjui umgueze mwanamke hivi, umlambe vile, na mwanamke pia anambiwa alale hivi abinuke vile na kuwa submissive agongwe mpaka dume akojoe💦🤸‍♂🏌‍♂️

It need not to be.we could relate to each other, me na ke, in physicall and emotional intimacy. If only we could take our coats of armor and become vulnerable., one to another, as human rather than super-beings and individuals rather than sexual role players.

Awali ya yote, sex as a competitive sport can become boring and meaningless. Eti upige Goli tatu?

Mkuu utotoni ulikuwa ukipakatwa? Ulibebwa mgongoni yango na yango? Ngozi kwa ngozi? Ama ulibebwa na basineti na kigari cha batoto? Ulinyonya matiti ama ulinyonya maziwa ya chupa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…