Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Hii hali naipataga nikitoka kutindua kipotabo guest yani nikimwaga tu nahisi nimetenda kosa na kujiona mkosefu nafuta namba ya mchuchu na kuziblok zote ila baada ya lisaa namtumia meseji mamboo😆😆😆

Mleta mada bila shaka unatoka kudinywa sasa hivi tulia kidogo utarudi kwenye hali yako ya kawaida
Hapana jamani😆
 
Yaani ata msaada siuoni mmekalia tu nyege mara haiwezekani! Kwaio mnataka kusema huko mitaani kwenu watu wote wameoza hakuna waliostaarabika? Inamaana hakuna duniani watu wasiozini?

Wapo watu wanaoweza kujizuia kufanya jambo kama halijawa na muhimu kwa wakati huo punguzeni negativity kwenye maisha mtakufa na presha kwa mambo yasiyo yenu!

Mtu mwingine kuitwa mwanaume ni mpaka atukane kila anachokutana nacho! Jitu halijaelewa post ni kumimina mitusi na kejeli! Na nyie mnaouza njia zenu msifikiri kila kitu ni biashara!Ukisemeshwa live unaanza kujinyeanyea nyie haya!

Mitoto isiyo radhi imelaanika hii ptuuu!🙌🏾
 
Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.

Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?

Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.

Asanteni sana.
Shalom....!
Leo nimeamua niwape Ujumbe wenu nyie Binti Sayuni.

Mungu anaye Mume wako wewe, ambaye ni chaguo lake kwako, kumbuka sisi wote tuna majukumu tofauti ambayo Mungu ameweka ndani yetu katika kuujenga Mwili wa Kristo, Sasa Yale Machaguo yenu Binti Sayuni Huwa sio Machaguo ya Mungu.

Kama Kuna aina ya maombi ambayo mara nyingi Mungu ahangaiki kuyajibu ni Kwa habari ya kukupatia Mume ama Mke, coz always Chaguo la Mungu kwenu mmekua mkilikataa, na ndiyo pale Mungu anapoamua kukaa kimya Kwa habari ya Mume ama Ndoa ila mambo mengine atakubariki.

Mungu atakuletea Mume wako Mtarajiwa katika Safari ya Maisha Yako, Mume ambaye pamoja mtasimama kuujenga Mwili wa Kristo, Mume ambaye pale mtapokua pamoja Milango yote inafunguka, atakuletea Mume kama Mimi Mweuso, kimo Cha Wastani, mwembamba n.k na labda akiwa Hana kazi ya maana, wewe huyo humtaki, unataka anayebeba Mavyuma, anayefanya kazi Ikulu, Mbunge ama mwenye pesa, bila kujua baraka zako na za huyo Mwanaume, zitafurika pale tu mkioana na kuanza kuishi pamoja.

Sasa wale Wabeba Vyuma wakiwapiga Matokeo kesho unaanza kufunga na Kuomba ukilia, ukimwambia Mungu akupe Mume, wakati alishakupa Mume Toka kwake na hukumkubari, maombi ya Kuomba Mume Toka Kwa Mungu Huwa hajibu kama nyie Mabinti Sayuni hamjabadirika, mkitaka Mungu awape Mume Kuna Kazi ya kufanya, sio kupoteza muda kulia kumwambia Mungu akupe Mume, Mungu haipotezi muda wake Tena kama hujabadirika.

Unarudi Kwa Mungu huku Kuna Vijana 6 ni Wapenzi wako, unamwambia Mungu akupe Mume huku Moyoni mwako Kuna Kijana alikuacha alikwambia kesho anarudi unaacha Kila kitu Kwa ajiri ya huyo, Mungu Sasa Hana Unafiki, Mambo ya Ndoa ni very sensitive Kwa Mungu, coz ndiyo hapo anategemea Watoto waliolelewa vizuri kesho waje kuwa Pastors, Prophets, Apostles, Wainjilisti n.k... so kama ana plan na wewe hawezi kuruhusu Uolewe na Kila Mtu hasa kama unakataa Machaguo yake Kwa ajiri ya kazi yake.

Nawapa tu Ufunuo, kama kweli unataka Mungu akupe Mume, fanyeni hivi mtakuja kunishukuru, na hii ni project ambayo naendelea nayo mtaani.....!

1. Delete Wanaume wote kwanza wale ambao unajua kabisa siku si nyingi watakwenda kukutongoza, Ondoa hao kwenye Maisha Yako,

2. Wapo wale ambao mpo kwenye Mahusiano kama ni wawili ama 3, mwambie Mungu ni awaondoe hao kwenye Maisha Yako, sio kazi Yako kuwaondoa Hawa coz mna Maagano tayari Kwa kushiriki nao Ngono, mwambie Mungu awaondoe kwenye Maisha Yako, mwambie kama miongoni mwa Hawa hakuna Yeyote uliyeniandalia aondoe wote, Believe me, Mungu ataondoa wote na utashangaa, sio kazi Yako kuacha kupokea simu zao, ila wao wenyewe wataacha kukupigia simu.

Maombi haya ya kumwambia Mungu aondoe Watu wote kwenye Maisha Yako, yawe ya kumaanisha bila kuacha mpaka majibu yapatikane na ikifika siku Moyo wako ukawa huna Upendo Kwa Mwanaume yoyote, ndiyo hapo Mungu atafanya ama kujibu kile unamuomba.

Utashangaa tu wale Wanaume hawakutafuti Tena, na wewe Moyoni mwako hakuna hata mmoja unamuwaza, unakua umeanza Upya, unakua uko tayari kuanza na Mungu Upya.

Hatua ya pili ndiyo Muhimu Sasa hii inahusisha kufunga na Kuomba bila kuacha mpaka Jambo litokee, Mungu ni mwaminifu kama una Nia kweli, yeye mwenyewe anasubiri ufike hatua hii, kama upo serious haitapita miezi bila Mungu kukupa Ishara.... Ni kumwambia Mungu Sasa unaona Moyo wangu ulivyo tayari kupokea Toka kwako, Sasa nikutanishe na Mume wangu, na hatua hii, sahau kuhusu Wabeba Vyuma, sahau Wabunge, Mwambie Mungu upo tayari kumpokea Yeyote aliyemwandaa Kwa ajiri Yako, Mungu ni Mwaminifu atatenda na utashangaa.

Hizi mambo za Kuomba Mume Kwa Mungu huku una mahusiano 3 mpaka 6, sahau Mungu kukujibu.

Kumbuka Mashambulizi ya Shetani Kwa Mungu na Watoto wa Mungu yanaanzia kwenye Familia/Ndoa, hivyo Shetani ni Adui wa Ndoa, nakupa mfano Mdogo Kwa Akili ya kawaida I hope utaelewa...!

Wewe utapoolewa na Mume ambaye ni chaguo la Mungu mtazaa Mtoto, na huyo Mtoto atakuja kuwa Pastor mkubwa sana ambaye atatetemesha Kuzimu atapoanza Huduma, na Mungu amekuletea huyo Mume Toka kwake hukumtaka kisa ana matege kama ya Wacheza Mpira, means yule Mtumishi wa Mungu mkubwa ambaye anatakiwa kuzaliwa Toka Tumboni kwako hatazaliwa, na kazi ya Mungu wakati ujao haitafanyika Toka kwa uzao wako....! Hivyo Shetani hawezi kukubari wewe kuolewa na Mume Toka Kwa Mungu, kutakua na Upinzani mwingi.

Ni wewe kumua Sasa, kwamba umeshajaribu kutumia Akili zako haijazaa Matunda, Sasa kabidhi Kila kitu Kwa Mungu na yeye atafanya.

Mabinti Sayuni kama mtafanya yake nimesema hapa Kwa Nia kabisa, mtakuja kutoa Ushuhuda hapo.....! Ninafanya hili na Mabinti kadhaa mtaani sio vibaya na nyie mkifanya....!
 
Amen Amen! UBARIKIWE! Sana mtumishi! Yaani nmepokea haya mafundisho kwa moyo mmoja! I really wish ungejoin group letu la maombi! Kama utahitaji utanichek kiukweli kuna wanawake wanahitaji kuyasikia haya! Mungu akafanyike majibu ya maombi yetu🙏🏽
 
Amina, Mungu alinipa Ufunuo huu, na Kuna Wadada 2 walishaaza maombi haya ni siku ya 10 Sasa, na Mimi huwasaidia pia Kuomba, so Nina kazi ya kuwatia Moyo na kuwasimamia, coz baada tu kuanza maombi haya, Mashambulizi Toka Kwa Adui yakaanza, so ni Mapambano, unaweza kunitumia link ya Hilo group Kwa DM.
 
Back
Top Bottom