binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Hapana hapana hapana!
Nipo tu kuwapa support mabinti sayuni.
Hapana hapana hapana!
Mimi kwenye betting yenu ni stake holder niwapa number ya collection odds ya mbili tax ni 5%Sio kweli .soko la mwanamke kushuka inategemea mambo mengi
Tubet niscreenshot whatsup zangu
Sijui kwanini nimechekaUkiona binti anakibanabana eti kisa ni binti sayuni na utumbo mwingine ,jua tu soko lake ni finyu mno
Amen barikiwa pia🙏🏾I will text you dear! Of all people wewe pekee umenielewa nashukuru sana! Na ubarikiwe..wengine wameniona mdhambi kuzidi wao, wapo wengine wanataka niwe kama malaika kisa nmeokoa, wengine wameniita majina na wwngine kujikuta ma-deputy jesus! Asante sis in Christ umeamua kulibeba swala langu na kuniamini bila maswali! asante sana talifanyia kazi ubarikiwe sana 🙏🏽
Kwa nini ucheke madam?🤣🤣🤣🤣Sijui kwanini nimecheka
Ukweli hiyo ni roho ya uzinzi hata ukiolewa, mmeo asipokuwepo muda fulani,utaangukia huko huko, inakutuma ufanye hiyo kitu baada ya kipindi fulani uwe umeolewa au la. Na wewe mwenyewe unapenda xes, sasa dhambi inakomaa. Wengi wanatatizo hilo.Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
Ooh!!kumbeHapana hapana hapana!
Nipo tu kuwapa support mabinti sayuni.
UMenichoshaKwa nini ucheke madam?🤣🤣🤣🤣
Akili yako ikiwa busy na majukumu, hisia huondoka, pia Fanya mazoezi ya kimwili. Hisia zikija, kemea na kuimba mapambioNaombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
Nipo hapa namzoom tuu mtoa maada anavyo lalamiki mbususu kupwita pwita na upwiruuuhuu uzi bila mzabzab ufutwe
Ahaaa hauchezi mbali team mafisiNipo hapa namzoom tuu mtoa maada anavyo lalamiki mbususu kupwita pwita na upwiruuu