Mambaz 24 jr
JF-Expert Member
- Aug 25, 2023
- 696
- 1,424
Fanya,sasa kwanini unajibana?Amen ila huo ni mwili na ni hitaji la kibinadamu
Fanya,sasa kwanini unajibana?Amen ila huo ni mwili na ni hitaji la kibinadamu
Waipate hii na wengine. Safi sana mrembo kwa kulitambua hiliKuna hizi dawa za kutoa sumu mwilini aisee zinaenda kutibua mahormone huko .unaweza kubaka mtu
Ila nashukuru mambo ya komboa familia ya mwamposa yananiokoa ningeshakigawa
Shetani shindwa kabisa sitokaa nizini nasema
Kwenda lodge noo
Kulala kwa mwanaume noo
Mwanaume kulala kwangu noo
Kichakani never
Yaani kama hauzini bwana baraka nje nje
Unapata hela na mafanikio Sana yaani
Sitaki zinaa never ever
Msaidie mrembo bwana mbususu inapwita kisa upwiruuuNakuja inbox
Man unatumia lugha Kali sana Yan!Wewe una akili sana.. hizi imani kuletewa zimetufanya tumekuwa wapumbavu sana .. Sasa kama hapo anataka kushindana na nature ..
Hakuna kitu kinaitwa dhambi au sijui motoni.. tumekuwa programmed na mambo ya kipumbavu sana
Akatombwe huko
Acha utani hivi mnajua kuwa kufanya mazoezi ndio kuna onheza hamu ya kudinyanaJiweke bize, fanya mazoezi uchoshe mwili, sali huo muda wa kuwaza mizagamuano hautakuwepo
Best reply ndio hiiiWewe una akili sana.. hizi imani kuletewa zimetufanya tumekuwa wapumbavu sana .. Sasa kama hapo anataka kushindana na nature ..
Hakuna kitu kinaitwa dhambi au sijui motoni.. tumekuwa programmed na mambo ya kipumbavu sana
Akatombwe huko
Siri ya mtu ni bonge la kichaka wasikudanganye daily wanakula cornNaombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
Nimesha gonga mlango nasubiria afungue...jirani.......maana kashikwa na dini mfyuuuuuuuMsaidie mrembo bwana mbususu inapwita kisa upwiruuu
Nyege mbaya kaka , nimemwona mnyege mwenzangu hapa fasta nikaona ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaHaaaa yaani mzee umetanguliza punda ktk post 321 then unakuja taratibu na mkokoteni ktk post hii.
Hahaaa
Laleni jamaniNyege mbaya kaka , nimemwona mnyege mwenzangu hapa fasta nikaona ewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kumbe kauzu tuuuuu
Haya sawa... Msalimie hapo Mr. Natafuta , mpongeze KWA show Kali ya muda huuLaleni jamani
Hakuna show hataHaya sawa... Msalimie hapo Mr. Natafuta , mpongeze KWA show Kali ya muda huu
mmmh haya mambo ya ku abstain waachieni mabikra tu.Zinaa ni nuksi.tujikaze Tu .
Ila. Tuseme kweli ni ngumu.kuna saa unawaza kupandwa Tu .ni full kuloa .unavaa pedi bila period
Wewe chapwaaaa ndio akili itatulia na kufanya vitu seriously..............unafikili nyege zina antivirusAisee sio poa
Unapata mihemuko Hadi kizunguzungu yaani
Huu mwaka sijui kama natoboa
Niombeeni Sana jamani
Heri kuwa moto au baridi kuliko uvugu vugu ....wote nyinyi na hizo dini zenu feki ni uvuguvugu (chukizo la uhalibifu lililo simama patakatifu) MTATAPIKWA hivyo wewe bora kuwa mzinzi tu kuliko huo upumbavu wa kina mwamposa na walokole na madhehebu ya diniNaombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.