Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,208
- 20,517
Huu ndo ukweli blaza eti wengine wanamshauri anaweza kuishi hivyo bila kuwa na Mtu, huku wao ni vinara haipiti siku bila kusuguanaMambo ya ajabu haya.
Umekuwa unafanya ngono toka upo 15yrs hadi leo upo 30yrs ghafla unawaza ku-abstain unadhani ni rahisi kiasi hicho?
Ilikuwa rahisi zamani na hata wao walikuwa wanaolewa wakiwa wadogo, mtu upo 30+ mwili umeshazoea ngono unaachaje sasa.
Nadhani ni kujilisha upepo tu, dawa ni kutafuta mtu mmoja uwe unakipeleka kila ukisikia nyege. Ubaya ni kuwa na wanaume wengi kwa wakati mmoja.
Ni asilimia ndogo sana wamejaribu na kuishinda hii vita. Kuwekana ni hitaji muhimu la mwili, ndio maana kuna wakati hata mental state inabadilika mwili ukiwa na hitaji hilo.
Narudia, ubaya ni kutombesha hovyo, na bahati mbaya wadada wa sasa mnatombesha hovyo sana, ndio maana mnajishtukia.
Unashindana vipi na nature aisee