Kwa huyu haiwezekani tena too late to catch a busIt's not easy
Ila nimechelewa kuona uzi
Ila inawezekana km time table yako iko vzr wala
Sasahivi kaka nitakusikiliza kwa makini sana ujuaji huu 🥹Usipuuze maneno ya wazee wako tumeona mengi sana😎
Najifunza mdogo mdogo ndiyo kwanza nimepewa hela ya mtaji mwezi uliopita Kwahiyo Mgeni mjiniNyuzi kama laki 7 kuhusu wanawake hujaokota ata moja kutuhusu🤣kula chuma hicho👌🏽
Ngoja nikupe Saikolojia moja ya sisi wanaume , wale wanawake wanaofungua nyuzi za kutafuta wachumba , huwa hatuna habari nao kabisa hata kama kweli mtu ana hitaji mchumba.Nyuzi kama laki 7 kuhusu wanawake hujaokota ata moja kutuhusu🤣kula chuma hicho👌🏽
Uzi wako umesha expire mamaKwanini unanifanyia hivi pumpkin😫
Labda wanaume walio jikatia tamaa tu , wazee wakupiga mipira iliyokufaKaa hapo sasa wenzio wamekugeuka😱
OkBado napokea ushauri jmn
Tofautisha dharau na ukweliIla watu mna dharau jmn hujui wahitaji wanakusoma humu😳