We acha nikupende kimoyo moyo tu 😅Mahusiano hayaharibiki leo, lakini mjomba akimeza shoka tu nakushtua😆
Bwashee nataka nikuachie majukumu hayo kubali kwa leo tu muhusiane na chochote me niweze kutoka 😅😅😅😅Kijana nani kakuambia tunahusiana?
Tulia kijana , usinitegee majukumu .Bwashee nataka nikuachie majukumu hayo kubali kwa leo tu muhusiane na chochote me niweze kutoka 😅😅😅😅
Kwa leo tu bwashee nitakulipa kreti tatu la pombe nikipokea hela yangu ya urithi 😅😅😅Tulia kijana , usinitegee majukumu .
Pombe zimejaa kwenye friji hata hamu nazo sina , sema lingine kijanaKwa leo tu bwashee nitakulipa kreti tatu la pombe nikipokea hela yangu ya urithi 😅😅😅
Bwashee kukuelewesha ni tabu sana we nisaidie kwanza halaf nikipokea urithi tutayajenga vizuri 😂Pombe zimejaa kwenye friji hata hamu nazo sina , sema lingine kijana
Bwashee kwamba unataka kusema mimi nina kichwa kigumu?Bwashee kukuelewesha ni tabu sana we nisaidie kwanza halaf nikipokea urithi tutayajenga vizuri 😂
Daah nimejaa tyr bwashee basi tena 🙌🏾😅Bwashee kwamba unataka kusema mimi nina kichwa kigumu?
It's not easyNaombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
zee la fursa 😅Unapokea urithi lini.. tuanzie hapo🤔