Kotekote ndo mkoa ganiMi wa kotekote na kwann unaniongezea nickname, we ni mkenya?😆
Kwahyo mikoa yote unanyumba au?Situlii mkoa mmoja kwani vp?
Shauri yako mkuu kama unapenda kuumwa.Hivi unawajua vzr? Kwanza sipendi kwenda hospitali wewe nina miaka mi3 sijaenda hospital😆
Tulia wewe , karibu pombe tuweke akili sawaUlinitukana sana bado hujachoka ww😃
Sikulazimishi aseeSitaki
Si umesema unateswa na dhambi ya uzinzi? Uzinzi ni ugonjwa mkuu.Siumwi mkuu kwani nina ugonjwa gani jmn
"Kuishi single bila kushiriki dhambi ya uzinzi" Ndo nilichoona.Hujaelewa kumbe wewe, kasome upya mada yangu na hospital hakuna tiba!
Nani amekudanganya kwamba wanawake ambao sio single hawashiriki uzinzi? Wengi wa married women wana michepuko yao. Single yeye hana michepuko—hizo ndiyo njia zake za kawaida, siku akiamua kutoka!Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
Kwani uongo, ndugu yangu?Mbona hatari!