Kwahiyo umeshapona mkuu?Nimefanyaje? Na uache kucheka post zangu za zamani😂
Hutaki kupona mkuu?Naponaje mkuu, mabinti sayuni tunasubiri wakati wa bwana😎
Seroo ww wa dar au mikoan?Nimefanyaje? Na uache kucheka post zangu za zamani😂
😁Kuna hizi dawa za kutoa sumu mwilini aisee zinaenda kutibua mahormone huko .unaweza kubaka mtu
Ila nashukuru mambo ya komboa familia ya mwamposa yananiokoa ningeshakigawa
Shetani shindwa kabisa sitokaa nizini nasema
Kwenda lodge noo
Kulala kwa mwanaume noo
Mwanaume kulala kwangu noo
Kichakani never
Yaani kama hauzini bwana baraka nje nje
Unapata hela na mafanikio Sana yaani
Sitaki zinaa never ever
Pole mkuu unaweza ukaenda hospitali.Nataka sana! Ila ndio sina jinsi..
Waambie wataalam wa afya ya akili kwamba una uraibu watakusaidia.Kuwaambiaje??
Hata sikumbuki, kumbe ulichezea za mbavu!😅We mzee uliniandama hicho kipindi sitokusahau😂