Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Ndo hivyo dadaangu. Kuna wengine utawasikia, NATAKA KUOLEWA NA MZUNGU, lakini kutwa kucha yupo Lingusenguse huko ambako hakuna mzungu hata wa dawa..!!!
Jamani si app zipo!!🙄 wanatolewa online sikuhizi mkuu!
 
Mambo yote huanza na fikra (moyo). Ukidhibiti vitu vya kuingiza kwenye fikra zako (moyo/mawazo) then utafaulu kutiisha mwili na mihemko yote. Kudhibiti mawazo /fikra, tumia muda mwingi kusoma neno la Mungu na kuomba. Pia jiepushe na mambo ya kukuletea vishawishi . Mfano movie/sinema zisizo za kiroho, hadithi za mambo ya uzinzi/ngono, kusikiliza mambo yasiyo ya kimaadili, nk.
 
Uko sahihi, asante sana kwa ushauri!🙏🏽
 
Back
Top Bottom