Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Kama week ilopita kuna siku sijaenda job sikuwahi kujua kama nyeeege ni ugonjwa yaani
IMG-20250822-WA0045.jpg
 
Some of these comments!

Ni kama kumuuliza bikra habari za leba.

Au kumuuliza Wahadzabe recipe ya ku marinate nyama!

Au kumuuliza mu Eskimo brand nzuri ya AC!

Au kumpa dogo wa baby class hesabu za algebra.

Ni Kama umuulize kataa ndoa jinsi ya kumfurahisha mke wako.

A worldly person can't fathom the spirit world. To them, it either doesn't exist or it's just an idea to them, not a reality.

A worldly person is confined to their physical senses, their other senses are dead,

no different from animals, thats why they compare themselves to animals, part of Satan's greatest deception:

you're just an Animal! Following instincts to survive, you have no other will apart from what your body commands. You're just your body and the body gotta do what it gotta do.

Until they change their mind on this and agree with God, it's a waste convincing them otherwise. Even the Lord himself abandoned them to their foolish thinking!

"Kwa vile watu walikataa kumtambua Mungu, Mungu amewaacha katika fikira zao potovu, wakafanya yale ambayo hawangestahili kufanya.

Wanajua kwamba sheria ya Mungu yasema kwamba watu wanaoishi mithili hiyo, wanastahili kifo. Zaidi ya hayo, siyo tu kwamba wanafanya mambo hayo wao wenyewe, bali hata huwapongeza wale wanaofanya mambo hayohayo.
"
Waroma.1.28-32
 
Labda uzoefu wangu usipende kuongea mambo yanayochochea hisia au kusoma makala za hivyo hata video au marafiki waliochangamka kwenye hayo masuala jambo la msingi ni kuamua mwenyewe ataukisikia ushawishi kiasi gani kumbuka kuna Mungu nikafanya hivi nitaharibu mahusiano yangu na yeye si hofu ya Mungu ndio inasaidia sana kushinda dhambi ya zinaa
 
Tengeneza serious relationship, muda ni mchache sana. Una act as if you have unlimited time.

Najua kuna vijana wengi tu safi na makini ambao unaweza kuingia nao kwenye relationship na kuoana but you are not smart enough.
 
Sishiriki kabisa na hisia hazinisumbui ila kuna muda wazo linakuja kwa mbali ndicho kisiktaki kabisa! Na imeanza hivi karibuni wkt siku zote i was fine..
Ok so your virgin?

Kama umewahu Fanya ni kawaida kwa mtu aloyewahi.
Mtu asie wahi Fanya sio rahisi kupata hizo hisia.

Cha msingi kuwa busy na mambo yako.
Epuka kukaa na vichochezi kama movie au thamthilia za mapenzi.
 
Tengeneza serious relationship, muda ni mchache sana. Una act as if you have unlimited time.

Najua kuna vijana wengi tu safi na makini ambao unaweza kuingia nao kwenye relationship na kuoana but you are not smart enough.
Sawa smart guy..
 
Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.

Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?

Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.

Asanteni sana.
Kuwa na mwanaume usiempenda hutolala nae
 
Vumilia,
Go out kutana na marafiki/watu wapya nk
Ukipata mtu mama mkishapima kichapishe sawasawa hainaga cheti hiyo
Unaweza ukapata cheti penzi likawa la manati
Hiyo ndo changamoto sinaga izo mambo za kwenda sijui wapi😅 nina ka-triangle flani hivi nimeshajizoesha, nyumbani-kazini-kanisani nimeshindwa kbs kukaacha😣
 
Hiyo ndo changamoto sinaga izo mambo za kwenda sijui wapi😅 nina ka-triangle flani hivi nimeshajizoesha, nyumbani-kazini-kanisani nimeshindwa kbs kukaacha😣
Mume/mpenzi hapatikani nyumbani ama kazini(kama unataka kutuliza kichwa na hiyo kazi)
Vinginevyo jilengeshe humo kanisani kwa wapendwa wenzio
 
Back
Top Bottom