Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Hongera binti, mshukuru Mungu wako kwa kuwa u mzima wa afya. Kuna watu kuwaambia kuwa una genye wanakuona umeishatenda dhambi kabisa. Kuna wenzako wanatamani hiyo hali wanakosa, waliishavuruga mihomoni huko sio mchezo...
Mwambie Mungu wako openly "Mungu mwili huu unahitaji, nifanyeje aisee, na mpaka lini nitasubiri, I need it"Then tulia happyly kabisa- utashinda hiyo hali kwa amani.
Ukithubu kubishana na hiyo hali hata kwa kujitamkia mwenyewe kujifanya shujaa - utashangaa umeliwa kimasihara - hutaelewa hata ilikuaje..
Asante kwa huu ushauri, nimeupenda sana! Barikiwa mwaya!
 
Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.

Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?

Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.

Asanteni sana.
Naomba nikuulize kitu ili nijue Cha kukushauli kiriho zaidi.
-Ulipo hapo unashiriki ngono?
Au ushiriki ila ni hisia ndo zinakusumbua?
 
Naomba nikuulize kitu ili nijue Cha kukushauli kiriho zaidi.
-Ulipo hapo unashiriki ngono?
Au ushiriki ila ni hisia ndo zinakusumbua?
Sishiriki kabisa na hisia hazinisumbui ila kuna muda wazo linakuja kwa mbali ndicho kisiktaki kabisa! Na imeanza hivi karibuni wkt siku zote i was fine..
 
Kibaya zaidi huko huko makanisani kuna wajanja huwa wanawaoa mapema sana. Mara nyingi kwa waliobarikwa kwenda chuo huwa hawamalizi miezi sita ya kabla au baada ya kumaliza chuo wanakuwa engaged tayari for marriage.
Kingine wanakuwa wamekaza San so akifika katk hiyo miezi sita tajwa hapo juu anawaza ndoa ili akawe huru maana kigezo Cha yeye kutoka nyumbani na kwenda kupanga ukitoa mambo ya chuo ni ndoa.
Hakuna bikira inayovuka chuo
 
Back
Top Bottom