G
Kuchezea nn jmnSasa Tayana inakuwaje, na wewe unachezea kweli?π π π
Mama mchunga sio mama mchunga tenaKwa nani jmn
Mtoa mada?
Hahaaaa
ππππ Seran njoo ujibuMama mchunga sio mama mchunga tena
KumbeKashakua mama paroko huyu
Ila nyie ni kati ya mama wachungaji wa rembo sanaπKumbe
π π€£ π
Kuwa mtu wa maombi kama unavyomshauri mjumbe hapo juuUkiwa mtu wa maombi hazikusumbui sana/kabisa, tatizo kubwa ni vishawishi hivyo tuviepuke tu!
ShukraniIla nyie ni kati ya mama wachungaji wa rembo sanaπ
Hahaha basi sawaShukrani
Wanasema uzuri wa mtu uko machoni jwa mtu....
Kwa hiyo umeabstain?π π πKuchezea nn jmn
Funguka?????
π π€£
Yaani kwa hali ilivyo its better to abstain mbona inawezekana kabisa
Kwa sasa nimechoka, mwaka wa pili huu nakula pension yangu. Nitakufa kwa shinikizoπChukua ile mama 5 sasa, unakwama wapi tukushauriπ
YeahKwa hiyo umeabstain?π π π
Kafanyahe tenaaKamenitapeli haka acha tu mtumishiπ
Uki mpokea yesu kristo kuwa bwana na mwokozi wa MAISHA YETU Kila kitu kinaenda sawa sawia..Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi.
Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale mtakapokutana na mtu sahihi aliye katika mapenzi ya Mungu?
Najua si rahisi, lakini najifunza na natamani kujua kutoka kwa waliopita huku na wakaweza kusimama imara. Tafadhali tushauriane kwa heshima, huenda tukajifunza kitu kikubwa kwa pamoja.
Asanteni sana.
Aah wapi utakua umeamua mwenyewe kutokaKamenitoa kwenye wokovuπ€¦π½ββοΈ