Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

Yeah
Till further notes...
Easy tuu..

Yaani umeuweka mwili wakl muda mrefu halafu kirahisi uje kumpa mtu kwanza sio romantic, jiandae kuchubuka usipokaa sawa akuachie uti... ya nn....bora ukae mbona sio chakula kwamba ukikosa utakufa
Hongereni kwa ku-abstain, huo mtihani japo wengine tuko retired lakini hatuuwezi, tumefeli!!
 
Nakuelewa sana mkuu! Uchumi unatufanya tushindwe kufanya mambo mengine kabisa, ndio maana hata mnawasema vijana hawana nguvu tena!
Vijana nguvu wanazo
Shida na wao mambo mengi , yaani ht akitaka mwanamke ni km ananunua tu hakuna yale mapenzi....
Na mwanamke unakuta anawaza sijui vikoba
Shida hakuna mapenzi jmn no feelings
 
Vijana nguvu wanazo
Shida na wao mambo mengi , yaani ht akitaka mwanamke ni km ananunua tu hakuna yale mapenzi....
Na mwanamke unakuta anawaza sijui vikoba
Shida hakuna mapenzi jmn no feelings
Umenikumbusha kuna mwaka nilikuwa na kikundi kimoja na hisa na mchezo wa kila mwezi, hisa yenyewe nagonga kila wiki na nilikuwa nacheza hisa 6 nilikoma jamani😂 mkaka alikuwa akinitongoza nakuwa mkali kama pilipili nilikuwa sina hisia mpaka mwaka ukakata nikatoa vyama nikabaki na kimoja uwii🙆🏽‍♀️
 
Vikoba ni laana , kwani pesa zako hauwezi zitunza mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…