Duhh mbona hatari!Wala sio uongo kwa hiyo kama Yuko katika mulengo huo ni ngumu kuepuka kutoa utelezi,hao wanalika hata kwa mihogo ya 500 tu ilimradi umemwezesha kuiona siku anakuona wa maana kwanza wao wenyewe wanaamini kwamba ikipita siku hajatongozwa basi ana kimavi(mkosi) na Yuko radhi hata akasafishe nyota huko.
N.b Tanga ndiko mapenzi yaliko zaliwa
Seran kaza tu utakaa sawa ushinde moto ukizidiwa we fanywa tu maisha nayo ni hayahaya tu unaweza ukaacha dhambi hii ukajikuta umetenda ileBaba mtakatifu91 hata mimi niliingia nimeokoka humu, Haya njoo nipe hiyo code huku..
Lust is an energy that needs to be controlled by your inner self. Lust is not a sin. For it to be a sin, it will depend on where you have directed it. If lust makes you think about sex, you have committed the sin of adultery. Likewise, if lust is directed toward physical exercises and just keeping yourself busy, you won't be counted as a sinner. Remember, according to the 2nd Principle of Thermodynamics, energy cannot be created or destroyed, but it can be transformed from one form to another. Think about lust (energy), which cannot be created (something you already have) or destroyed (no way to get rid of lust), but can be transformed from one form to another (depends on where you want to deposit it)."Baba mtakatifu91 hata mimi niliingia nimeokoka humu, Haya njoo nipe hiyo code huku..
Well sid baba!Lust is an energy that needs to be controlled by your inner self. Lust is not a sin. For it to be a sin, it will depend on where you have directed it. If lust makes you think about sex, you have committed the sin of adultery. Likewise, if lust is directed toward physical exercises and just keeping yourself busy, you won't be counted as a sinner. Remember, according to the 2nd Principle of Thermodynamics, energy cannot be created or destroyed, but it can be transformed from one form to another. Think about lust (energy), which cannot be created (something you already have) or destroyed (no way to get rid of lust), but can be transformed from one form to another (depends on where you want to deposit it)."
Welelwa mwanike=umeelewaBaba mtakatifu91 hata mimi niliingia nimeokoka humu, Haya njoo nipe hiyo code huku..
Napo nimejua baada ya kuachwa, nasema kama mazuri.Ndio wanaweza! Kama hakuna vishawishi ni rahisi sana..
Wamenuharibu mkuu sikuwa hivi! Nilikuwa nalala mpaka madhabahuni mimi, can u imagineš„¹
Mala ya mwisho aliniambia yeye ni mjamzito. Sikuwa na namna tena.Kwanini umeachwa?
Ndiyo, sijui ni bahati mbaya niliye naye pia yupo mbali nami.Ulikuwa mbali naye? Duh pole sana mkuu!
Nilitaka uje kwa PMKabisa! Haya nipe hiyo code ulotaka kunipa kwa waziri..