Toka hapo kwenye maombi na dhana ya imani, rudi kwenye halisia uone kama itakuwa hivyo.Habari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi
Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?
Asanteni
Mngekuwa mnapambaniwa na huyo Mungu wenu wala hata msingehitaji kuja JF kuomba ushauri kutoka kwa watu wengine.Unatumia nguvu sana bro..Huko kujipambania ndio maana unapata stress wenzio tunapambaniwa....Hebu relax kwanza.
Hizi kauli zimewaacha wengi kwenye umaskini na ufukara.Mungu hawahi wala kuchelewa .
Ndivyo mlivyo pumbazwa huko kwenye dini zenu?Nilichogundua kumbe JF Kuna wapinga Kristo pia...acheni kupotosha watu wa Mungu enyi wapinga Kristo mkiendelea hivi hukumu ya moto itawapata milele liogopeni Jina la Bwana.
Pole sana, najua wakati mwingine tunapitia kipindi kigumu sana . Usikate tamaaHabari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi
Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?
Asanteni
Kauli za namna hii zimewaacha wengi kwenye umaskini.muda wa unachotaka bado haujafika...
Yani mfano, Utake uwe na mtoto halafu usiwe naye, Huyo mtoto ata kufuata kaburini?.muda ukifika kitakufata hata ukiwa kaburini
-Omba hadi upate majibu-Omba hadi upate majibu
-Ambatamisha maombi na sadaka
-Amini katika unachokiomba na amini kwamba Mungu anajibu
-Jua nguvu ya Mungu,amini Mungu ni mkubwa kuliko tatizo lako.
-Tembea katika njia sahihi..Kwa ndani ya Mungu na weka Neno lake ndani yako
Ukitaka kumstua,Mungu mshukuru hata kwa kutokukujibu.Hii itapelekea Yeye kujua ukubwa wa imani yako.kumbuka kutokujibiwa na Mungu pia ni jibu hivyo mshukuruHabari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi
Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?
Asanteni
Ukisoma uzi wa mleta mada kashafanya yote haya uliyo andika hapa na huyo Mungu hajafanya chochote.-Omba hadi upate majibu
Ukiwa na muda na Mungu, naye atakuwa na muda na wewe. i.e Mpe Mungu quality time, yaani usimpe Mungu muda wa ziada. tenga muda maalumu wa kuongea na Mungu, sio wakati ambao umechoka ndo ukae na Mungu. ikiwa waweza kuwa na muda na rafiki au mume/mke wako kipenzi, si zaidi sana Mungu? jitahidi kuwa na muda mrefu wa kuongea na Mungu/ Muda mrefu wa kuomba. iwe ni mchana au usiku. omba hadi nafsi yako ikushuhudie kuwa kwa hakika nimeongea na Mungu na maombi yangu yamemgusa Mungu
Kuwa na consistency katika maombi.
Kuwa na consistency katika maombi
omba bla kuchoka, na omba kwa target, ikiwezekana uwe na karatasi au mahali ambapo umeorodhesha maombi yako kwa lengo la kufuatilia ombi lipi limeshapata majibu na lipi bado.
usiwe mwombaji wa kulipuka lipuka yaani wiki moja upo moto kimaombi na wiki lingine umezima.
-Ambatamisha maombi na sadaka
-Amini katika unachokiomba na amini kwamba Mungu anajibu
-Jua nguvu ya Mungu,amini Mungu ni mkubwa kuliko tatizo lako.
-Tembea katika njia sahihi..Kwa ndani ya Mungu na weka Neno lake ndani yako
Hizi kauli zimewaacha wengi kwenye umaskini na ufukara.
Kwa hili naamini Mungu yunasi siku zote kwa kipindi nilichopitia apo miaka miwili niliweka tumaini kwake zaidi na matokeo nikayaona Ashukuriwe zaidi🙏Habari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi
Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?
Asanteni
Na mojawapo ya umaskini mbaya wa Akili ni huu wakusubiri na kumuomba huyo Mungu akusaidie shida zako,Umasikini wa akili ndo mbaya
Pole sana kwa kutujibiwa maombi yako!Habari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi
Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?
Asanteni
Huenda una changamoto ya kibali au mizimu inakufuatilia. Jitenge nazo na upate mafundisho sahihi ili ufunguliweHabari ndugu zangu
Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi
Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi mnafanyaje?
Asanteni
Hivi umemsoma mleta mada vizuri ukamwelewa?Pole sana kwa kutujibiwa maombi yako!
Mungu hajawahi kuhindwa kitu! Kwa point hiyo, nadhani wewe ndiyo umeshindwa! Hujui kuomba. Hatujui kuomba.
Ushauri:
1. Muombe Roho Mtakatifu kufundishe kuomba.
2. Shika neno tenda neno. Amesema, neno langu likikaa moyoni mwenu, ombeni lolote mtakalo mtatendewa! Kumbe ili utendewe, unapaswa ushike na uliishi neno!
3. Inawezekana unaomba kibinafsi. Yaani unaomba kwa ajili ya utukufu wako menyewe. Unaomba ili ukipata uwatambie wengine! Uwanyanyase wengine! Kwa Mungu hutapata unchoomba kama hiyo ndiyo dhamira yako! So, cheki dhamira yako tena! Unaomba ili uvitumie uviombavyo kwa ajili ya utukufu wa Mungu au kwa ajili yako mwenyewe???
Binadamu atakusaidia nini,hapa ukiambiwa uchangie hata elfu 5 hutoi...Mngekuwa mnapambaniwa na huyo Mungu wenu wala hata msingehitaji kuja JF kuomba ushauri kutoka kwa watu wengine.
Mleta mada anahitaji kusaidiwa na sisi binadamu kwa vile huyo Mungu aliyekuwa anakesha kumuomba na kusali, Kashindwa na hawezi kumsaidia.
Utapeli ndio unaanza hivi hivi.Huenda una changamoto ya kibali au mizimu inakufuatilia. Jitenge nazo na upate mafundisho sahihi ili ufunguliwe
View: https://youtu.be/w355_ZQZ18U?si=2Hv7EzjhGAqTE4eC
Kwa hiyo huyo Mungu ndio anatoaga Hela kuchangia watu wanapo patwa na shida?Binadamu atakusaidia nini,hapa ukiambiwa uchangie hata elfu 5 hutoi...