Wenzangu mnatoa wapi mada za kuanzisha?

Hata yule kipanga wa dalasan mnaingia nae pamoja lakin ww ulikuwa unashika mkia kipanga anashika namba moja..sawa sawa na hapa
 
habari wakuu,

sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskiniπŸ™πŸ™..
hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha kila siku wenzangu.😡
Hata hii uliyoanzisha pia ni mada....
 
habari wakuu,

sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskiniπŸ™πŸ™..
hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha kila siku wenzangu.😡
Njoo PM tuongee zaid
 
Hata yule kipanga wa dalasan mnaingia nae pamoja lakin ww ulikuwa unashika mkia kipanga anashika namba moja..sawa sawa na hapa
hahahah sema mfano wako umeniacha hoi, haya bana
 
Hata mimi ni mgeni nataka niwe mtoa mada mzuri
 
mimi mtu wa siasa lakini sitaki kabisa kuzungumzia mada za siasa kwa sasa[emoji23] [emoji23]
hahah naona umepiga hodi labda ukizoea zoea unaanza kushusha hayo mamboπŸ™‚
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ila kweli hata mada za hivo nazionaga humu, mara mtu haoni siku mara amemwagiwa sijui nje.. okay asante kwa kunipa mwongozo
hahaa kwani wewe hujawahi kuliwa papuchi kwa kukopwa"" ?? kama ulishawahi anzisha Uzi tu"" utawapata wakopwaji wenzio na wakopaji""
 
Njoo facebook unaandika chochote utakacho hakuna sheria zozote!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…