Bila biashara za pembeni hakuna mfanyakazi anawezaPamoja na majukumu, na Hali ngumu ya maisha mfumuko n.k
Jitahidi mshahara mmoja ukutane na mwingine(mfano mshahara was Nov ukutane na wa Dec) ,,,, panga budget zako vizuri !
Epuka madeni kwa mangi!
Oya mwanangu fanya kunikopa ikiingia nitalipa buda [emoji3]Tayari
Unatumiaga saizi ipi?Wenzangu wa kuleee mmeona chochote au tumesahaulika naona tarehe zinapita tu (mmeelewa wakubwa)
Wenzangu wa kuleee mmeona chochote au tumesahaulika naona tarehe zinapita tu (mmeelewa wakubwa)
Salary haijawahi kutosha hata ukila dagaa Bila chumvi ,,almuhimu Ni kuwa na plan B tu.....Pamoja na majukumu, na Hali ngumu ya maisha mfumuko n.k
Jitahidi mshahara mmoja ukutane na mwingine(mfano mshahara was Nov ukutane na wa Dec) ,,,, panga budget zako vizuri !
Epuka madeni kwa mangi!
Uza hizo sindano na madawa,nesi anaanzaje kulilia mshahara?Wenzangu wa kuleee mmeona chochote au tumesahaulika naona tarehe zinapita tu (mmeelewa wakubwa)
Wakili msomi Gogoz akiwatetea wateja wake.ππππMshahara huwa unatoka tarehe 22 kila mwezi lakini tangu jana mpaka sasa hola. Hawa watumishi wa umma wengi wanategemea salary ili waishi sasa mnavyowacheleweshea wanajijazia madeni madukani halafu pesa ikitoka yote inaishia kulipa madeni
Jambo jingine la msingi ebu kama wewe ni mfanyakazi wa serikali usitegemee mshahara tu jishugulishe kufanya biashara ndogondogo kama kuuza duka, huduma za fedha na mitandao, bodaboda hata kuuza pipi na karanga sio mbaya pia
Hapana mshahara unatoka Kwa wote[emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]
Mkuu unanogwa sna
Ungesema tu walimu
Inabidi wawe wanapewa haki yao Kwa wakatiWakili msomi Gogoz akiwatetea wateja wake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pilipili sizozila zakuwashaje? very likely wewe ni mfanyakaziMshahara huwa unatoka tarehe 22 kila mwezi lakini tangu jana mpaka sasa hola. Hawa watumishi wa umma wengi wanategemea salary ili waishi sasa mnavyowacheleweshea wanajijazia madeni madukani halafu pesa ikitoka yote inaishia kulipa madeni
Jambo jingine la msingi ebu kama wewe ni mfanyakazi wa serikali usitegemee mshahara tu jishugulishe kufanya biashara ndogondogo kama kuuza duka, huduma za fedha na mitandao, bodaboda hata kuuza pipi na karanga sio mbaya pia
Naked Truth Bro.Mshahara huwa unatoka tarehe 22 kila mwezi lakini tangu jana mpaka sasa hola. Hawa watumishi wa umma wengi wanategemea salary ili waishi sasa mnavyowacheleweshea wanajijazia madeni madukani halafu pesa ikitoka yote inaishia kulipa madeni