Wenzetu mlioajiriwa na Jamhuri mmepata mshahara?

Baada ya mgao wa umeme na Maji Sasa ni mgao wa mshahara.

Wengine walilipwa Jana, wengine Leo asubuhi na mpaka sasa Kuna wafanyakazi hawajapata mshahara wao wa November.

Anyway tutafika
Tuko pabaya....
 
Hebu achana na tabia za kulalama hovyo. Watanzania tuache vitabia vya kuokoteza vijisibabu vya kijinga ilimradi tu tuilaumu serikali iliyopo.
 
Aisee ni kweli?
Sidhani. Hata kama ni ukweli, kutofautiana kwa siku moja hadi mbili kunakuwaje hoja? Sekta za umma ziko nyingi. Si rahisi wote kuingiziwa mishahara kwa mara moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…