Wenzetu mmewezaje kuvunja 'cycle' ya umasikini wa ukoo/familia?

Watoto hawatakuelewa
 
Watoto hawatakuelewa
Ukikaa na waliofanikiwa kisha wakaamua kutokuwa wachoyo wa njia zao kwako utayajua mengi sana, kwa bahati mbaya wengi wao huficha na kuamua kuja na ngonjera ambazo zitafanya jamii iwakubali badala ya kuwaogopa.

Hapo ndo utasikia matajiri wanakupa ngonjera zao za uongo, eti sali sana, fanya kazi kwa bidii na mentality😂.

Kuna watu wamefanya kazi kwa bidii tangu ujana wao mpaka sasa wanazeeka hawana hata 10M benki.
 
Point Sana mkuu na Kumweka mbele Sana Mungu
 
Jamii nyingi za waliofanikiwa,..Wayahudi, Wahindi, Wachaga, Wakinga, Waha..etc
Hivi katika jamii zilio fanikiwa kweli ni sawa kuweka wayahudi kundi moja na Waha, wachagga na wakinga, mbona hao watu ni kawaida sana hayo mafanikio siaoni, neenda kigoma kibondo kasuru ujiji 95% wakutupwa, neenda wilaya za Moshi hamna tofauti na wilaya zingine za Tz, tofaiti iko kwenye individua basis. Sio community base, Tz is the same popote.
 
Ushirikiano/Kusaidiana kimaendeleo.
 
[emoji23][emoji23]
 
Naunga mkono hoja
 
Tasaf
 
Kijana una miaka 23, huna biashara/kazi yenye kukuingizia kipato cha uhakika,,,,,, unaenda kuoa binti ambae kwao yeye ni wa kwanza na ana wadogo zake sita wote wanakutegemea shemeji uwasomeshe,, uwalishe wazaz wao,,, uwape mahtaji yao ya msingi,, uwajengee nyumba n.k what do u xpect??

Baada ya mda fulan unapata mtoto wa kwanza unampeleka kusoma sant kayumba,, anafika form four anafeli, anakua boda boda(kwa sababu hujamuandalia future yyte na wala huna mtaji wa kumpa),,,, ,, na yy tena anaoa kulekule,,,, mzunguko unaendelea

Suluhisho:usianzishe familia kama ww mwenyewe hujitoshelezi,,, unaongeza idadi ya wahalifu(watoto wa mitaan+panyaroad) na kuendeleza vicious cycle.
 
Mara nyingi umasikini unasababishwa na wenyewe wa family maana full kufanyiana ushirikina hili kila mtu abaki masikini asije kutulingia unakuta mama mkubwa anamfanyia ubaya mtoto wa dada yake asifanikiwe sababu tu wa kwake hana mafanikio kwahyo afanane na wanae.
 
BIG YESSSSSSSSSSSSSSSSSS
 
Mzee ni civilized na msomi huwa haamini hayo mambo ya giza ila kutoamini kwake hakukuzuia watu kumuharibia mipango ya kimaisha.
Hawa waS3NGE kumbe hata usipojihusisha na hizi mambo wanakudaka tu?

Kwa visa hivi vyote vya humu hivi tuwaiteje wanaosema hakuna uchawi? Kwa hiyo tunakubaliana wao ndiyo wachawi wenyewe au siyo?
 
Hawa waS3NGE kumbe hata usipojihusisha na hizi mambo wanakudaka tu?

Kwa visa hivi vyote vya humu hivi tuwaiteje wanaosema hakuna uchawi? Kwa hiyo tunakubaliana wao ndiyo wachawi wenyewe au siyo?
Hao ndio mawakala, usione mtu anapinga pinga tu kazi za giza kumbe ni wakala.
 
Mtu akipinga hili jua ndiye mchawi mwenyewe
 
Kikubwaa na zaliwa naishi then baada ya kuishi nakufaaa na maisha menginee yanaendelea why kujipa stress na njia nayo pitaa ingali kuna serikali inabidi itekelezeee ayaaa ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…