Wenzetu waanza kupewa kadi za kuthibitisha wamepata chanjo ya Corona kama Jumuiya ya Kimataifa inavyoelekeza

Mtapewa kadi zinazoonesha mmejifukiza
 

Attachments

  • IMG_2817.PNG
    129.6 KB · Views: 1
Umetoa wapi hii ?
Wewe ulitaka nitoe wapi? Natambua hii haikufurahishi kutokana na itikadi pingamizi pamoja na maslahi uliyokuwa nayo

Ungekuwa na taaluma ya uhandisi wa kemikali na mahusiano wa vijiini vya viumbe hai hasa binadamu mimgekumegea zaidi lakini itoshe kusema kilichoandikwa ndio muhtasari halisi huko maabara.
 
Kibongo bongo unaweza ukatoa hela ukaletewa icho cheti nyumbani bila kuchoma iyo chanjo Wala nn
 
Wewe ni mwanasayansi?
Hata wale wapiga kelele kuisemea chanjo wengi wao si wanasayansi...
Ni mashabiki kama ulivyo wewe...
Na hoja si lazima ipingwe kwa sayansi...
Bali kuna mazingira ya kimatukio yanaweza kufanya hoja kupingwa... Na ikaleta maana
Tatizo lenu kubwa nyie supporters wa hiyo chanjo mpo kupinga kwa kelele nyingi
 

Sure
 
Chanja tu ila ukienda china utapinwa kwa kipimo cha haja kubwa kwanza
 
nyie wabongo mlioshindwa kutengeneza hata pamba ya kuoshea vidonda mnapata wapi ujasiri wa kuipinga chanjo ya corona Masikini wakubwa nyie !
 
Dikteta sijui kwanini anakataa na wakati ni hiari ya mtu
Sasa kama ni hiari ya mtu .......vilevile ni hiari ya viongozi wanaongoza nchi yetu ...kuikubali hiyo chanjo au laa ......TUSIPANGIANE NAMNA YA KUISHI KWENYE HII FREE ZONE WORLD WIDE
 
Hamia huko dada. Kila siku kulalamika tuu! Nafikiri kinga zako za mwili zitakuwa zimeshaka sana kwa sababu ya stress
 
Dikteta sijui kwanini anakataa na wakati ni hiari ya mtu
Sasa kama ni hiari ya mtu .......vilevile ni hiari ya viongozi wanaongoza nchi yetu ...kuikubali hiyo chanjo au laa ......TUSIPANGIANE NAMNA YA KUISHI KWENYE HII FREE ZONE WORLD WIDE
 
Soon Watanzania hatutaruhusiwa kuingia nchi yoyote ile duniani bila ya hii kitu.
 
Jiwe atawatengenezea Mecca 🕋 yao kule chato kitovuni ile ya Saudi Arabia wataisikia kwenye bomba.
 
Ktk hili ni wazi hii vaccine card itakuwa ndio funguo ya kuingia hata ulaya na amerika. Sasa mbaya zaidi ni kwa upande wa chima wale ndio washenzi wa karne na kipimo chao cha speaker ati ni lazima upimwe corona kwa kutumia kipimo cha speaker eiiiiiiiiii bora niende chatooooooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…