Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtapewa kadi zinazoonesha mmejifukizaKama wote mlivyokwisha sikia kwamba kuna maeneo bila kuwa na ushahidi kwamba umechanjwa ili kujikinga na Corona hutakanyaga wala kutia pua yako, basi nchi zilizostaarabika na kuamua kufuata mwongozo wa WHO zimeanza kuwapa kadi za uthibitisho wa chanjo raia wake waliochanjwa ili wawe huru kupokelewa popote waendapo duniani.
Swali: Je, sisi Watanzania wengine ambao ni wafanyabiashara wa Kimataifa, tunaolazimika kusafiri hapa na pale duniani kwa sababu za kibiashara tufanyeje?
Wewe ulitaka nitoe wapi? Natambua hii haikufurahishi kutokana na itikadi pingamizi pamoja na maslahi uliyokuwa nayoUmetoa wapi hii ?
Hata wale wapiga kelele kuisemea chanjo wengi wao si wanasayansi...Wewe ni mwanasayansi?
COVID 19 vaccination
1. Does neither increse nor enhance human immunity against the infection
2. Does not prevent the spread of the virus
3. Does not prevent from getting sick
4. Does not eliminate the need to wear mask, washing hands, social distancing
5. Does not guarantee health safety
The vaccination is useless; it is just a laboratory platform to practice the research on how the viral works and possibility to be battled.
Chanja tu ila ukienda china utapinwa kwa kipimo cha haja kubwa kwanzaKama wote mlivyokwisha sikia kwamba kuna maeneo bila kuwa na ushahidi kwamba umechanjwa ili kujikinga na Corona hutakanyaga wala kutia pua yako, basi nchi zilizostaarabika na kuamua kufuata mwongozo wa WHO zimeanza kuwapa kadi za uthibitisho wa chanjo raia wake waliochanjwa ili wawe huru kupokelewa popote waendapo duniani.
Swali: Je, sisi Watanzania wengine ambao ni wafanyabiashara wa Kimataifa, tunaolazimika kusafiri hapa na pale duniani kwa sababu za kibiashara tufanyeje?
nyie wabongo mlioshindwa kutengeneza hata pamba ya kuoshea vidonda mnapata wapi ujasiri wa kuipinga chanjo ya corona Masikini wakubwa nyie !Wewe ulitaka nitoe wapi? Natambua hii haikufurahishi kutokana na itikadi pingamizi pamoja na maslahi uliyokuwa nayo
Ungekuwa na taaluma ya uhandisi wa kemikali na mahusiano wa vijiini vya viumbe hai hasa binadamu mimgekumegea zaidi lakini itoshe kusema kilichoandikwa ndio muhtasari halisi huko maabara.
Nenda uhamiaji watakuelekeza ....ondoka tu utuachie BONGO yetu ....Utaratibu wake ukoje mkuu?
Sasa kama ni hiari ya mtu .......vilevile ni hiari ya viongozi wanaongoza nchi yetu ...kuikubali hiyo chanjo au laa ......TUSIPANGIANE NAMNA YA KUISHI KWENYE HII FREE ZONE WORLD WIDEDikteta sijui kwanini anakataa na wakati ni hiari ya mtu
Hamia huko dada. Kila siku kulalamika tuu! Nafikiri kinga zako za mwili zitakuwa zimeshaka sana kwa sababu ya stressKama wote mlivyokwisha sikia kwamba kuna maeneo bila kuwa na ushahidi kwamba umechanjwa ili kujikinga na Corona hutakanyaga wala kutia pua yako, basi nchi zilizostaarabika na kuamua kufuata mwongozo wa WHO zimeanza kuwapa kadi za uthibitisho wa chanjo raia wake waliochanjwa ili wawe huru kupokelewa popote waendapo duniani.
Swali: Je, sisi Watanzania wengine ambao ni wafanyabiashara wa Kimataifa, tunaolazimika kusafiri hapa na pale duniani kwa sababu za kibiashara tufanyeje?
Sasa kama ni hiari ya mtu .......vilevile ni hiari ya viongozi wanaongoza nchi yetu ...kuikubali hiyo chanjo au laa ......TUSIPANGIANE NAMNA YA KUISHI KWENYE HII FREE ZONE WORLD WIDEDikteta sijui kwanini anakataa na wakati ni hiari ya mtu
Kama wote mlivyokwisha sikia kwamba kuna maeneo bila kuwa na ushahidi kwamba umechanjwa ili kujikinga na Corona hutakanyaga wala kutia pua yako, basi nchi zilizostaarabika na kuamua kufuata mwongozo wa WHO zimeanza kuwapa kadi za uthibitisho wa chanjo raia wake waliochanjwa ili wawe huru kupokelewa popote waendapo duniani.
Swali: Je, sisi Watanzania wengine ambao ni wafanyabiashara wa Kimataifa, tunaolazimika kusafiri hapa na pale duniani kwa sababu za kibiashara tufanyeje?
Sasa itakuwaje , nashangaa kuwaona viongozi wakuuu wa dini ya kiislam wanapinga chanjo, na huko macca mwaka huu bila kuwa umepata chanjo ni marufuku kutia mguu!!kwenda kuhij!!akili hizi bwana yaani dunia nzima waende clockwise, wewe tena kiinchi maskini, ujifanye eti kwenda anticlockwise?? Mala eti ni vita ya kiuchumi!!!kwa kitu gani ulichonacho?yaani USA, awe na vita ya kiuchumi na CHINA, anaweza kuwa na vita na wewe!!
Kabisa tena !Jiwe atawatengenezea Mecca 🕋 yao kule chato kitovuni ile ya Saudi Arabia wataisikia kwenye bomba.
Za china na Mrusi ila sio za mabesti wake mbeligijiVery soon mataga mtakiri Yesu ni bwana na mtakua mstari wa mbele kupata chanjo.