Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Nimeweka Kambi na Mimi nione namna huyo dada atanipeleka mahali nikauze pweza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKUAMBIA HUMU HUMU NA HUYO DADA ALIEKUFUATA KWENYE ATM NI KWAMBA " USIPOMLA HUYO DADA NA NAMBA YAKE UNAYO BASI UTAKUA BWEGE WA MWISHO KABISA! HUYO DADA AMEKUELEWA SEMA AMESHINDWA KUKUAMBIA MBELE YA MME WAKE, JIONGEZE WEWEE UJUE WEWE WAKIUME"Nilipoishia...
"Alparsalan Mimi sio mkaaji ila huyu kaka (muuza chipsi na kuku) nimeshaongea nae Kila kitu atakupa ABCD za kuboresha biashara Yako usiwe na hofu upo sehemu salama usisite kunitafuta PM ukishamalizana nae au kama utaweza kupakumbuka nyumbani utaningongea mm nipo mpaka Jioni" Kumbuka ilikuwa kama saa 7 mchana basi yeye akawa ameondoka
Alivyoondoka huyo jamaa muuza chips akawa amenihoji hoji lengo ilikuwa kunifahamu vizuri basi tukawa tumeongea mambo mengi ya kuboresha huduma ya biashara hasa biashara za tumbo hasa hii ninayoifanya akawa amenipa ABDD"s za kutosha nikisema niziseme hapa ntawachosha
Wakati huo akiwa ananipa ABC'S wateja wakamiminika akasema ngoja nimpigie wife aje hapa akufundishe jambo
Na kweli wife ake alipigiwa simu na baada ya dakika kama 20 alifika
Alivofika akamwambia mume wake (muuza chips)
"Baba Fulani Mimi kwa hapa siwezi labda twende nyumbani Fulani Yuko peke ake nyumbani na nimemuacha kalala"
Basi huyo jamaa akasema niongozane na wife yake nyumbani maana yeye ana wateja
Kiukweli nilichoka hata jamaa alonisindikiza alisema amechoka pia na mizunguko ila nkamwambia tukaze tu
Basi tulifika kwa huyo jamaa muuza chips tukaka nje
Bila kupoteza muda mke WA muuza chips akanambia enhee mliishia wapi?
Skumuelewa kabisa nkasema sjakuelewa dada akasema Hilo Somo la pilipili na kachumbari mmeishia wapi
Ndo nkamjibu tulikuwa Bado hatujaanza
Basi bila kupoteza akanifundisha namna ya kutengeneza kachumbari tamu na pilipili
Baada ya hapo akaniuliza kama nimemuelewa nikamjibu ndio
Akasema nakupa ingredients ufanye kwa vitendo
Akanipa ingredients nikaandaa pilipili ilivyopoa tukaionja ilikuwa tamu Kweli kweli
Akasema kama umeelewa basi mm nshamaliza Rudi kwa Mume wangu (muuza chips) kama mtakumbuka njia Tunasema hatuwezi kumbuka njia hivyo akatupa mtoto atupeleke mpaka pale kwajama muuza chipsi tulivofika muuza chips akaniuliza kama somo limeniingia nkasema ndio nikamuonjesha kasema wow umemsidi na mwalimu tukacheka kweli
Basi muda huo ilikuwa viazi vimeisha vijana wake WA kazi ndo walikuwa ndo kwanza wanamenya hivyo hakuwa na wateja
Aliamaua kutusundikiza kuelekea kwa hyu dada alonikutanisha nawe wakati tukiwa njiani akasema nimesahau kukuuliza unakaa kigamboni maeneo gani
Nkamwambia Mimi sikai huku Mimi nakaa buguruni akastaaju akasema alijua nakaa huku kigamboni nkamwambia hapana!
Akanambia buguruni alishawahi fanyi baisahara yake hii ila baada ya kuoa alihama nado akaja kigamboni akaniuliza sehemu ninayo fanyia biashara nkamtajia akasema hapo napajua ila kwa aina ya biashra Yako utachelewa kutoka Maana hapana mzunguko Sana basi tukafika Mpaka kwa huyo dada tukaagana na huyo dada dada akatupa buku 5 ya nauli tukasepa
Itaendelea...
Changamka kijana! Amekuelewa huyoNamba yake Sina mkuu Nina namba za yule jamaa muuza chips tu
Tayari mkuuMwendelezo
Mara pap, kumbe umekutana na FaizaFoxyInaendelea
Hiyo buku Tano nilopewa ya nauli nkawa nimempa jamaa yangu kama shukrani ya kuacha shughuli zake na kunisindikiza kule
Siku iliyofuta asubuhi kama kawaida nikaenda kisutu kufata mzigo nikaandaa Kila kitu
Nashukuru mungu Kila alienunua alinisifia siku inofauata kwa pilipili ule na kachumbari
Hasa wengu walisifia pilip ili hivyo nikazidi kujinyakulia point nawa Teja wakawa wanazidi kuja sio kama zamani
Baada ya siku kama nne nkakuta PM ya dada akinambia nimtume no yangu
Nikamtumia namba yangu huku nkiambatanisha nashukrani zangu akanijibu usijali
Baada ya dakika kama 3 nkapigiwa simu na no ngeni sauti ya kiume lla sautinkawa nimeukalili ni ya yule jamaa muuza chips akaniuliza Niko wait nkamjibu nipo kijiweni akasema
Kuna mtu anafanya biashara kama yangu maeneo ya hapa hapa buguruni na anapiga show Kweli kweli kwa Sababu eneo alilopo Kuna mzunguko wa wtu wengi ila anataka kuhama pale amepata dili sehemu nyingine Tena mambele mbele hivyo akanambia kama ntakubali nihame hapa nilipo niende huko maana Kodi yake haijaisha
Ikabidi nikubali
Sku iliyofuafa nkakutana na huyo jamaa anaishi mbagala akanionyesha hiyo sehemu alipokuwa anauzia
Siku hiyo hiyo nkahamisha Kila kitu na kuanza biashara pale
Yani hyo siku niichelewa kuanza kukaanga basi wakati nakaanga wateja wakawa wananisubiiri
Ndani ya masaa 2 mzigo ukaisha nilishangaa ikabidi nimpigie jamaa akanambia hapo inabidi nichikue mzigo wa maana wateja ni wengi sana
Moja hapa ninapoandika haya yote namshukuru mungu kunikutanisha na huyu dada WA jf akika amenisaidia sana bila yeye nisingepata zari kama hili
Basi baada ya kuhama kule wale wateja s wakanifuata😄
Wakasema wamemis pilipili yangu maana sio mbali sana
Naendelea kutoa shukrani kwa huyu member Wa jf kwa msaada alonipatia hakika mungu ni mwema
Mwisho
Mwenye swali aniulize
Nimesoma tayariMwendelezo tayari mkuu
Ahsante kushukuru, karibu tena na tena.....Inaendelea

Unajipakulia minyama 😂 ehAhsante kushukuru, karibu tena na tena.....
Thankscongratulations
ASanteHongera sana,. Na hongera kwa huyo dada ana moyo mweupe
Ntakuja kula kuku hapo buguruni, jmosi nikitokea huku kigamboni.Unajipakulia minyama 😂 eh
😄😄 Sawa uje na mumeo😂😂Ntakuja kula kuku hapo buguruni, jmosi nikitokea huku kigamboni.
Atakua bize jmosi nitakua mwenyewe😄😄 Sawa uje na mumeo😂😂
Mkuu unachekesha ujue😂Nimeweka Kambi na Mimi nione namna huyo dada atanipeleka mahali nikauze pweza
Atakua bize jmosi nitakua mwenyewe