- Thread starter
- #81
For real broGood people still exist
JF is better place to be .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
For real broGood people still exist
JF is better place to be .
AmeenHallelujah, jf people say Ameeen
Maeneo ya wagogo hukuUko wapi?
Mkuu ndo sijapapata freshMaeneo ya wagogo huku
Kwenye huu mkoa wanaojua kuchonga vinyago vizuriMkuu ndo sijapapata fresh
Haha aya baanaKwenye huu mkoa wanaojua kuchonga vinyago vizuri
Nikitaka kuwekeza hapo, ili kila wiki niwe napata gawio, natakiwa kuwekeza kiasi gani?Haha aya baana
Watu Wema Bado WapoInaendelea
Hiyo buku Tano nilopewa ya nauli nkawa nimempa jamaa yangu kama shukrani ya kuacha shughuli zake na kunisindikiza kule
Siku iliyofuta asubuhi kama kawaida nikaenda kisutu kufata mzigo nikaandaa Kila kitu
Nashukuru mungu Kila alienunua alinisifia siku inofauata kwa pilipili ule na kachumbari
Hasa wengu walisifia pilip ili hivyo nikazidi kujinyakulia point nawa Teja wakawa wanazidi kuja sio kama zamani
Baada ya siku kama nne nkakuta PM ya dada akinambia nimtume no yangu
Nikamtumia namba yangu huku nkiambatanisha nashukrani zangu akanijibu usijali
Baada ya dakika kama 3 nkapigiwa simu na no ngeni sauti ya kiume lla sautinkawa nimeukalili ni ya yule jamaa muuza chips akaniuliza Niko wait nkamjibu nipo kijiweni akasema
Kuna mtu anafanya biashara kama yangu maeneo ya hapa hapa buguruni na anapiga show Kweli kweli kwa Sababu eneo alilopo Kuna mzunguko wa wtu wengi ila anataka kuhama pale amepata dili sehemu nyingine Tena mambele mbele hivyo akanambia kama ntakubali nihame hapa nilipo niende huko maana Kodi yake haijaisha
Ikabidi nikubali
Sku iliyofuafa nkakutana na huyo jamaa anaishi mbagala akanionyesha hiyo sehemu alipokuwa anauzia
Siku hiyo hiyo nkahamisha Kila kitu na kuanza biashara pale
Yani hyo siku niichelewa kuanza kukaanga basi wakati nakaanga wateja wakawa wananisubiiri
Ndani ya masaa 2 mzigo ukaisha nilishangaa ikabidi nimpigie jamaa akanambia hapo inabidi nichikue mzigo wa maana wateja ni wengi sana
Moja hapa ninapoandika haya yote namshukuru mungu kunikutanisha na huyu dada WA jf akika amenisaidia sana bila yeye nisingepata zari kama hili
Basi baada ya kuhama kule wale wateja s wakanifuata😄
Wakasema wamemis pilipili yangu maana sio mbali sana
Naendelea kutoa shukrani kwa huyu member Wa jf kwa msaada alonipatia hakika mungu ni mwema
Mwisho
Mwenye swali aniulize
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nimeweka Kambi na Mimi nione namna huyo dada atanipeleka mahali nikauze pweza
HongeraInaendelea

Nilijua tuu ni wewe, alivosema mdada mcheshi-mcheshi plus masihara mengi kuna kitu kikaniambia huyu ni Evelyn SaltAhsante kushukuru, karibu tena na tena.....
ASante mkuuHongera
Ni kweli mkuuWatu Wema Bado Wapo
ThanksJapo picha ya pili pili mkuu.
All the best
Aah wapi mkuu huyu ni ostadhat kabisa
Karibu PmNikitaka kuwekeza hapo, ili kila wiki niwe napata gawio, natakiwa kuwekeza kiasi gani?