Wewe dada na kaka Mungu awabariki sana

NAKUAMBIA HUMU HUMU NA HUYO DADA ALIEKUFUATA KWENYE ATM NI KWAMBA " USIPOMLA HUYO DADA NA NAMBA YAKE UNAYO BASI UTAKUA BWEGE WA MWISHO KABISA! HUYO DADA AMEKUELEWA SEMA AMESHINDWA KUKUAMBIA MBELE YA MME WAKE, JIONGEZE WEWEE UJUE WEWE WAKIUME"


NA IKAMFIKIE NA MME WAKE
 
Inaendelea
Hiyo buku Tano nilopewa ya nauli nkawa nimempa jamaa yangu kama shukrani ya kuacha shughuli zake na kunisindikiza kule
Siku iliyofuta asubuhi kama kawaida nikaenda kisutu kufata mzigo nikaandaa Kila kitu
Nashukuru mungu Kila alienunua alinisifia siku inofauata kwa pilipili ule na kachumbari
Hasa wengu walisifia pilip ili hivyo nikazidi kujinyakulia point nawa Teja wakawa wanazidi kuja sio kama zamani

Baada ya siku kama nne nkakuta PM ya dada akinambia nimtume no yangu
Nikamtumia namba yangu huku nkiambatanisha nashukrani zangu akanijibu usijali
Baada ya dakika kama 3 nkapigiwa simu na no ngeni sauti ya kiume lla sautinkawa nimeukalili ni ya yule jamaa muuza chips akaniuliza Niko wait nkamjibu nipo kijiweni akasema
Kuna mtu anafanya biashara kama yangu maeneo ya hapa hapa buguruni na anapiga show Kweli kweli kwa Sababu eneo alilopo Kuna mzunguko wa wtu wengi ila anataka kuhama pale amepata dili sehemu nyingine Tena mambele mbele hivyo akanambia kama ntakubali nihame hapa nilipo niende huko maana Kodi yake haijaisha
Ikabidi nikubali
Sku iliyofuafa nkakutana na huyo jamaa anaishi mbagala akanionyesha hiyo sehemu alipokuwa anauzia
Siku hiyo hiyo nkahamisha Kila kitu na kuanza biashara pale
Yani hyo siku niichelewa kuanza kukaanga basi wakati nakaanga wateja wakawa wananisubiiri
Ndani ya masaa 2 mzigo ukaisha nilishangaa ikabidi nimpigie jamaa akanambia hapo inabidi nichikue mzigo wa maana wateja ni wengi sana
Moja hapa ninapoandika haya yote namshukuru mungu kunikutanisha na huyu dada WA jf akika amenisaidia sana bila yeye nisingepata zari kama hili
Basi baada ya kuhama kule wale wateja s wakanifuata๐Ÿ˜„
Wakasema wamemis pilipili yangu maana sio mbali sana

Naendelea kutoa shukrani kwa huyu member Wa jf kwa msaada alonipatia hakika mungu ni mwema

Mwisho

Mwenye swali aniulize
 
Mara pap, kumbe umekutana na FaizaFoxy
 
Ahsante kushukuru, karibu tena na tena.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ